Kampuni ya Fly Over Iliyoanzishwa Mwishoni mwa Mwaka 2018, December Na kufanya kazi nchini Tanzania Na nje ya Tanzania Imeweka wazi Leo Bei ya bidhaa zao Rasmi ili Kuepusha Usumbufu na Watu wanaojiwekea Bei zao wao Wenyewe Wakiwemo Mawakala Wa Kampuni hiyo na Wasambazi .
Akiongea Leo Manager Masoko, wa kampuni hiyo ya Fly Over Leo Jioni hii January 7/1/2018
Ameweka Wazi Bei lasmi na Kusema Kuwa kwa yeyote Atakaepandisha Bei bila Kuwa na Ruhusa au kibali Cha Kampuni, hiyo Kuchukuliwa Hatua.
Ambapo Amedai Bei za Bidhaa Zao Zitawekwa Kulingana na mzigo unaozalishwa na kupatikana katika Kampuni hiyo Ambapo ameanza kwa kuitambulisha, T.shirt na Mikoba ya kubebea Vitu ambapo Bei hizo Ni sh. Elfu kumi na Tano tu kwa kila T.shirt Moja $15 (15000)
Napia Kaongezea Kwa kusema kuwa Unapopata mzigo wako hakikisha unajipatia na zawadi yako ya Mkoba Mmoja kila ununuapo bidhaa ambapo mzigo wowote utakuwa ukimfikia mteja husika Mikoani/Wilayani Na nje ya Nchi .
@KgChataNewz Tz