J Khan aka Juma Hamduni mfanya biashara maarufu ya nguo, mzini ngara amesema kuwa kashusha mzigo mpya wa nguo kali jinsia ya kiume, na viatu vikali vya kiume .
Zaidi J khan kasema hii ni funga mwaka kwa kua kafanya kama suprise cz ikiwa kama imeambatana na siku yake ya kuzalia hii leo .
Akihojiwa na KgTv amesema watu wasogee dukani kwake, ni mjini ngara, soko kuu upande wa nje juu ya soko hilo ndipo anapatikana ili kuweza kujipatia, pamba kali ili kupendeza na kuonekana name muonekano mzuri .
J khan katoa ofa kwa watu 5 watakao kuwa wa kwanza, kupata mzigo huo atashusha bei ikiwa ndan ya wiki moja tu na ofa kuisha .
Akisherekea siku yake ya kuzaliwa kawashukuru, wote wanaondelea kumwish ktk siku yake hii ya kuzaliwa so jiunge nasi ili kupata vitu vikali zaidi J KHAN HOOD BROTER'S SHINE NGARA BROOD HOME SWEET
Timu nzima ya kgchatamedia, yaungana na ma hood home brothers j khan kufrahia na kumwish, siku yake hii ya kuzaliwa God bless all ma people .
@2017kgmedia.com
0 comments:
Post a Comment