Msanii wa bongo freva MUBA TALENT kutoka WEHU INTERTAINMENT, Kuachingia nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la AMEN!, mapema leo akiongea na KgTv Amesema kuwa, mashabaki wategee kazi nyingi na nzuri kutoka kwake amabapo ametoa tarehe lasmi ya kuachia kazi yake rasm Juma 5 hii mwez huu 12 .
Akihojiwa leo asema kaamua kufanya muziki wa Aina ya Singeli kwa kua mziki huo hauna, suport kubwa ya wasanii wanaofanya muziki, huo .
Pia kaongezea kusema kuwa yeye hatoacha kuachia nyimbo kwa sababu kipaji anacho, na nia anayo ya kuufikisha mziki wake wa Singeli mbali zaidi kwa habari zaid sikiliza Radio ya Efm Juma 5 hii .
Pia aushukuru uongozi, huo wa WEHU INTEETAINMENT, Kwa Suport kubwa kuendelea kusimamia kazi zake .
Muba Talent new song...Amen .on youtube.com .
0 comments:
Post a Comment