Hii imetolewa kufuatiwa na Agizo la Mheshimiwa Dk John Joseph Magufuli, Rais wa Tanzania kupiga marufuku, Tv yoyote kucheza au kuonyesha nyimbo yoyote iliyo na utupu ndani yake .
Pia Tanzania, Azitaka taasisi maalumu ya kupambana na maadili ya nchi kufata utaratibu na kuchukua hatua, kwa watu watakao kiuka utaratibu huo .
Pia tanzania yaombwa kua na heshima ili, kujenga uzalendo ulio wema kwa taifa hili ambapo imetajwa, kua Tz wadada wameongoza kutokua na maadili, kupolomoka kufuatiwa kuvaa nguo zisizo na heshima kwa jamii, ikifatiwa na wakaka kuvaa nusu uchi, wakiachia six pack .
Pia wakaka wengi, wakivaa nusu ya makalio yao yani (Mlegezo) wakidai ndo fashion ssa tabia hii inarudisha nyuma uzalendo wa nchi yetu .
Tv au Mitandao ya kijamii, kutangazwa lasmi kufungwa kwa mtu atakaebainika, kupost au kucheza video/Picture ya uchi bila ufataji wa sheroa na kuchukuliwa hatua kali .
@2017KgChataMediaNews.com
0 comments:
Post a Comment