Manager wa Kampuni hiyo Ya KgChataMedia amesema, kwa ufupi kuwa ni project itayokuwa ikiruka, lasmi #youtube kila siku masaa 24/7, pia ameomba kama shabaiki na mfuatiliaj wa Tv hiyo, kuweza kuscribe ili uweze kuona vipindi vyote kwa urahisi.
Manager Wa Kampuni hiyo, amesema kuwa vipindi vitakavyorushwa, hewani ni INTERVIEW na watu wote, wenye kazi zao za sanaa na kuzitambulisha pia na kuzifanyia promo Zaidi.
Kasema pia mengineyo, watazidi kuweka wazi kupitia kwa page au kurasa zetu za KgChataMedia, kama Facebook,Instagram,Blogs,Fb page, Telegram & watsap no#0762888476, nk hizi ndizo page zetu ambazo unaweza kutupa comment, maoni na kuweza kututafuta na kuweza kushiriki vipindi vyeru Asanteni sana Na Kalibuni .

0 comments:
Post a Comment