KG CHATA VITU BORA

HABARI NA KGCHATA

Tuesday, December 05, 2017

MTOTO MCHANGA MWENYE UMRI WA SIKU NNE ATUPWA SHIMONI NA KUKUTWA MZIMA AKIWA NA SIKU SITA

       Mtoto huyo alietupwa na mama yake ndani ya shimo akiwa na umri wa siku 4👈 tu amekutwa ndani ya shimo takribani siku  6 👈 akiwa mzima .

Ambapo Dawati la Police wanawake mkoa wa RUVUMA👈, Wakiwa na wauguzia kuangalia usalama wa mtoto, Huyo aliye tupwa.

      Kutoka kulia ni Muuguzi Rukia, Twahili, Anayefuata Devoda Umbela na Aliye mshika, mtoto ni mwenyekiti wa mtandao wa Police👈 wanawake, Fadhila chacha na wa mwiaho kushoto ni Anna Chaima.

        Mungu amtie nguvu na kumpa adhabu kali aliyefanya kitendo👈 hicho . Mtoto aliyetupwa akiwa na umri wa siku 4 kukutwa hai ndai ya shimo akiwa na aiku 6 humo .

Share:

0 comments:

Post a Comment

Follow on Facebook

BTemplates.com

Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Search This Blog

[Latest News][6]

mix
NEW AUDIO
New Photos
NEW STORY
NEW VIDEOS

Like us on Facebook

Most Popular this week

Popular Posts

Blog Archive