KG CHATA VITU BORA

HABARI NA KGCHATA

Friday, December 22, 2017

MSANII WA MUZIKI WA BONGO FREVA RICK MELODY KUZUNGUMZIA MZIKI WAKE @2017


   Msanii huyo anaekwenda kwa jina la Erick Kazungu Aka. RICK MELODY Akiongea na KgNews mapema leo kutoa historia yake fupi ikiambana na siku yake ya kuzaliwa leo 22/12/2017.

     Ameanza kwa kusema sanaa, ya uimbaji ameanza toka akiwa mtoto mdogo, kwa kucheza na kusikiliza nyimbo na kutizama kwenye tv .

     Alipokuwa alianza music wake lasmi akiwa shuleni, na kupaform sehemu, tofauti tofauti kwa kurudia nyimbo za watu wakitambo kile, kama Amini, Barnaba nk alisema Rick melody.

     Mziki wake ulikuwa zaidi, alipoanza kufanya kazi zake mwenyewe mnamo mwaka 2011 ambapo alikutana, na prod NAZDA Mjini mwanza na kufanya kazi ambayo ilikuwa heart Fura yangu, ambapo alikubalika na mashabaki pia kufanya interview nying na kujikuta, kapata Management chini ya usimamiz wa Studio/Nusder Paints Mwanza, ambapo alifanya vzur na kuendelea kuto heart song kibao mpaka ssa .

      Either Rick Melody, ambae kwa ssa yupo ktk info FINAL MUSIC, akisherekea siku yake ya kuzaliwa leo amedai kuwa kuna project, nying sana ambazo wakati wowote sitaachiwa .

      Pia kaeleza kwa nn alikuwa kimya muda mrefu, ambapo kadai kuwa alisubir project za msanii mpya Dimo Classic ambae, alikuwa akiachia nyimbo yake mpya kutoka ktk managment hiyo japo bado hajasign lasmi kuwa ktk lebal hiyo .

     Rick Melody kamaliza kwa kusema kuwa, Mashabiki wake waendelee kumpa suport na anawahid mambo, mazur ambapo kadai ziko kaz nying kutokana na mambo madogo ya familia kuingilia so kessy soon naachia mzigo 1 baada ya mwingine alisema msanii huyo rickmelody .

     KgMediaNews.com inampa kheri ya siku yake ya kuzaliwa, Big Brother Rick Melody akupe miaka yote Amen

Share:

0 comments:

Post a Comment

Follow on Facebook

BTemplates.com

Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Search This Blog

[Latest News][6]

mix
NEW AUDIO
New Photos
NEW STORY
NEW VIDEOS

Like us on Facebook

Most Popular this week

Popular Posts

Blog Archive