Leo tarehe 9/12/2017,Tanzania kuazimisha miaka 56 ya uhuru ambapo watanzania wengi wamwjitokeza kuadhimisha, uhuru huo .
Mgeni lasmi ambae ni Dr. John Pombe Magufuli, na viongozi wengine wa juu wa serikali Wazili mkuu Mama Samia thruu na waziri mkuu Kassim Majaliwa, na mawazili pia na viongozi wa dini kuhudhuria, uhuru huo .
Pia Tanzania tunawakumbuka, waliopigania uhuru wa Tanganyika pia wanajeshi, viongozi waliopigana na kuikomboa nchi ya Tanzania .
Pia Tanzania yakumbuka, wanajeshi zaidi ya kumi na nne waliofariki, ktk mapigano yaliyotokea nchi ya kongo .
Mungu ibariki tanzania Mungu ibariki Africa Mungu Ibariki Dunia nzima .
0 comments:
Post a Comment