Msanii wa muziki 👉Daddy Mashona, kutoka 👉Final music Presents kuachia lasmi, nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la 👉STOP WAR, Mapema leo siku ya Uhuru wa Tanzania.
Nikiongea na Compony ya 👉Nana Tv leo boss wa 👉Herby wa Nana Tv amesema kuwa, wameachia nyimbo hiyo kama suprise au dedication👈, kwa 👉Askari wengi wanaoendelea kufa Africa kutokana na vita .
👉Pia Final Music wamesema kuwa, wametoa nyimbo hiyo lasmi kwa kuwa, vita vinapotokea watu wengi huteseka, watoto, Wanawake na pia wananchi wengi hupoteza maisha yao, wasiokuwa na hatia kwa sababu ya vita hvo .
Pia msanii huyo na crew ya 👉Final studio na 👉Nana Tv, wamesema wameiachia leo kwa kua ndo wameoma, itakuwa siku nzuri kwa ni sikukuu ya Uhuru wa Tanzania kuwa inafana sana, Boss wa Nana Tv kusema kwa mala ya kwanza mtaisikiliza live on #youtubeNanaTv👈
KgTvMedia tunaishukuru NanaTv na final studio kwa kukubali kufanya mahojiano na kgMedia
KgTvallrighgtreserved@2017
0 comments:
Post a Comment