Msanii wa comedy anaekwenda kwa jina la Paulo aka Chambuzi Comedian, anaefanya vizur katika tasnia ya bongo comediani movie, kutoka mji mdogo wa Katoro, amesema kuwa, Movie yake ya APUYO inaendelea kufanya vzur zaidi, kwa sababu story ya movie ile ni nzur na yakueleweka .
Aidha msanii huyo Amedai kuwa wanapata changamogo na, katika usambaz ya kazi zao na kuwafanya, mpaka kulegea kutoa Kazi zingine kwa kua, huchukua muda mrefu kazi zao kuwalipa au kutowalipa kabisa na kujikuta, wanaifrahisha jamii kuliko wao kupata faida .
Changamoto
Ameongeza kusema kuwa wanatumia galama nyingi kuwalipa, washiliki na kuwalipa Madirector na ambapo wanatoa pesa nyigi ili kuandaa, na kukamilisha kazi hiyo .
Chambuzi asema kuwa hivi kalibuni anatarajia kuachia movie nyingine mpya amesema mashabiki, wa tasnia ya filamu wakae tayar kwa filamu hiyo .
Chambuzi Comedian atamba na movie yake mpya, iitwayo Apuyo .
0 comments:
Post a Comment