KgNewsMedia ikiongea na Mgunduzi, huyo ameanza kwa kusema kuwa .
Jina lake anaitwa Ester Gasper, kutoka, mkoa wa kagera Tanzania ambapo, ameanza kwa kusema yeye alianza kusoma akiwa shule alipenda kuwa mbunifu wa vitu mbalimbali hasa akitaman sana kuwatibu viumbe hasa Mifugo .
Alipohitimu shule yake ya secondary, alifauru na kuchaguliwa kujiunga na chuo cha mifugo, na kilimo Mkoani Bukoba Maruku, ambapo aliosoma kwa taklibani miaka 2 kwa ngaz ya diploma.
Amesema uchunguzi huo, ulimjua na kila mara kuwa akiwazia kitu hcho, ambapo siku moja akiwa katika mazoez yake alijikuta akiumia mguu na kuchubuka, sana ambapo mguu wake ulivuja damu na alikuwa mbali, na hospitali amesema alipoona damu zinavuja kwa wingi, akaamua kutumia jasho lake lilikua likimtoka kwa kazi kutokana na mazoezi yake nakuitoa kwa mkono na kutia ktka kidonda kile na papo hapo kidonda kukauka na damu kukakata, na kidonda kuanza kukaauka ndani ya dkka 2 toka alipotia jasho hilo .
Ambapo aliamini kuifanyia, uchunguzi zaid kwa watoto waliokuwa wakipata injali za kuumia, michubuko, miwasho ya kila aina nk.
Pia kaelezea changamoto, kubwa inayomsibu, kumuumiza kichwa ambapo ametaja ugumu unaojitokeza mpka sasa kuipata prodact hiyo ya jasho ili kuifanya kuwa kimiminika, kutangaza soko .
Aidha kasema anatoa somo, kwa mtu atakae pata, injali ya aina hiyo kuweza kujitibu kwa haraka kupitia jasho lake la mwili na kusubili, kuwahishwa hospital pia amesema anaendeleanluchunguza zaidi ili kuja kuiweka waz, lasmi jinsi ya upatikani na njia za kufanya kupata dawa hiyo toka ndani ya mwli wake kwa muda husika atakapo kuwa kaumia .
Fatilia KgChataMedia kila siku ili kujua, mambo yatakayokuwa yakijili kuhusu tiba hiyo ya miili yetu ssi yani (JASHO) La (Binadamu).
Tufatilie zaidi hapa kw habar moto moto KgChatamedia.com
👉Fb--Kgchata
👉Page--Kgchata
👉Blog--Kgchata
👉Instagram--Kgchata
0 comments:
Post a Comment