Msanii huyo 👉Ally Dalla mapema leo akiongea na KgTv, 👈amesema kuwa muziki ameanza zamani, sana ambapo hakuweza kurekodi kutokana na uhaba wa fedha .
Pia msanii huyo ameongeza, ameongeza kusema kuwa kabla ya kuanza kuimba, muziki wa bongo freva alinza kuwa Dancer👈 wa muziki huo, ambapo amesema kuwa .
Kabla hajaanza uimbaji ameanza kudance kwa waimbaji kam Frola Mbasha,👈 Bahati Bukuku,👈 na Masanja Mkandamizaji👈 pia ambapo kasema kuwa kuwa, aliaikia tangazo kwa Haemonize(WCB)👈 kuwa anatafta madancer.
Msanii huyo ndipo akaenda kufanya kaz na msanii huyo Harmonize(WCB)👈 ambapo alifanya kazi takribani mwezi mmoja na kutoka, na kuamua kufanya muziki wake ambapo hakutaja sbabu zilizofanya kutoka kwa staa hiyo mkubwa👉 Harmonize(WCB).
Msanii huyo ameongezea kusema anawashukuru, watu wote waliompa kampani na kumfanya kufikia hapo, alipodika na anawaomba mashabiki na wasanii mapresenter kuwapa sapoti ili kuufikisha, muziki wake sehemu furani ambapo unatakiwa kufika .
KgTv"allreservedon2017 👈Ally Dalla new song....WEMBE Ipakue on @Mkito.com .
0 comments:
Post a Comment