KG CHATA VITU BORA

HABARI NA KGCHATA

Friday, December 01, 2017

MTOTO WA BOSSMANAGER KGCHATA WA (KGCHATAMEDIA) KUPEWA JINA LASMI NA BABU YAKE MAPEMA LEO

Mtoto huyo aliezaliwa Tarehe 27/11/2017 saa 7:03 Asubuhi, apewa jina na babu yake mapema leo, babu wa mtoto huyo na familia yake kiujumla, Asema kuwamtoto huyo amepewa majina ma2 ambapo kapata jina la Asili, pamoja na laubatizo amesema kuwa jina la asili ambalo ni NDUUMWAMI, kwa maana ya MTAWALA na jina la 2 amabalo ameitwa IZACK .
   Pia kaongezea bibi wa mtoto huyo kuwa atahakikisha akipewa matunzo yote, kwa kua ndo mtawala wa pekee wa familia na ukoo kwa ujumla ambapo kaelezea kua jina hilo na la #babu na #babuu yaoo wa kwanza wa familia hiyo .
    Baba wa mtoto INNOCENT KAPARAGA na SARAH BENJAMIN mkewe wameelezea furaha yao, pindi walipopata mtoto huyo na kuahidi kumtunza, na kumlea kadri Mungu atakapotuchalia uzima, mama wa mtoto amemaliza na kusema kuwa, 👉Anawashukuru wote kwa namna moja ama nyingine wamesaidia mpka mtoto huyo kuwepo mpkasa sasa . Pia uongozi mzima wa KgChataMedia Umempongeza BossManagerKgChata pongezi kumpata Mtoto Huyo aitwae IZACK .

Share:

0 comments:

Post a Comment

Follow on Facebook

BTemplates.com

Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Search This Blog

[Latest News][6]

mix
NEW AUDIO
New Photos
NEW STORY
NEW VIDEOS

Like us on Facebook

Most Popular this week

Popular Posts

Blog Archive