Msanii was kizazi kipya Jazz bee Leo kafunguka live on Kgchatamedia, na kutoa hofu kwa Mashabiki kuhusu kufananishwa na mastaa wa Muziki bongo .
Msanii huyu alimaarufu kama Jazz bee Amesema kuwa Ameanza game kitambo Sana ambapo kashafanya kazi nyingi Sana za kisanaa hususa ni katika Muziki wa Bongo freva .
Msanii huyo ambae anafanya Muziki was rap Nchini muda Mchache Kama masaa 4 Baada ya kuachia nyimbo yake Mpya amesema kuwa amepokea comment nying Sana za kunanishwa na Msanii young killer na ma rapper wengine wa Tz.
Akiongea na Kgtv kasema kuwa yye hafani na Msanii yeyote wa bongo na Wala uandishi nanukuu "mimi siimbi Mziki wa mtu Wala uandishi naamini kila mtu anasauti yake na pia uandishi kila mtu anaandika katika Dunia hii"
Jazz bee nawakalibisha kuisikiliza Nyimbo yangu Mpya inakwenda kwa jina la TUTAFIKA TU .
Mashabiki zangu naombeni saport kubwa Mimi bila nyinyi siwezi kufika mbali
www.kgchata.blogsport.com
0 comments:
Post a Comment