Habari zilizotufikia hivi punde, nikwamba Msanii na Ambae ni producer wa Mziki wa Bongo Freva #Pancho_Latino Afariki Dunia Akiwa Ufukweni mwa kisiwa Cha Mbudya Jijini Daresaalam Akiwa na wenzake !
Shuhuda wa tukio Hilo adai kuwa alikumwona Pancho Latino na Akiogelewa punde na kuona mtu akizama pasipo kuibuka juu ya maji kwa muda mrefu kidogo ndipo alipochukuwa hatuwa ya kutoa taarifa na uogozi wa Prod huyo kufanyika wakiwa na boti ndogo nakufanikiwa kumutoa na kumfikisha hospital mwana nyamala, ambapo baada ya muda mfupi walipokea sm ya kusikitisha ambapo walilipoti kutokea kwa kifo hocho !
(R.I.P Brother)
Habari kamili tutakufikishia Baada ya habari kamili kukamilika !
0 comments:
Post a Comment