Masaa machache Baada ya ukimya Wa upatikanaji wa Bilionea Na Ambae ni Mwenye muwekezaji wa Kampuni ya MOETEL TZ alietekwa na watu wasiojulikana siku chache zilizopita .
Familia ya Mo Dewj Yavunja ukimya na Kutangaza Donge nono la sh.Bilioni Moja kwa atakaetoa taarifa sahihi za upatikanaji, was mtoto wao Mpendwa Mo Dewji .
Subscribe my Blog now ili kuwa Updater zaidi was habar za Dunia Nzima
0 comments:
Post a Comment