Msanii huyo anayekwenda kwa jina la Godfrey William Sahini, aka Godbicko ze mafia akieleze nyimbo yake mpya ya Jipe shavu, mapema hii .
Kasema kuwa hakuna msanii aliyemsukuma, mpka yye kuanza rap lakin kasema kua ni yye mwenyewe kujiona, kuwa anakipaji cha kufanya game la kuimba, na kuanza kufanya mziki wake wa bongo freva.
Ze mafia pia kasema kuwa, msanii anaemkubali Bongo ni Stamia aka Rostam na nje ya Tz ni wiz khalifa, pia mafia kataja kuachia ngoma yake mpya December hii .
Pia amesema kuwa kwa sasa hana, management yoyote anafanya muziki wake mwenyewe, pia kasema kua yeye anasimamia muziki wa ngara yani "Ngara Hiphop" akiwa na wenzake wengi .
Pia kaongera matalajio ya muziki wake, ambapo kasema kuwa Muziki wake anataraji kuufikisha, mbali ndani na nje ya Tanzania, pia kawashukuru wote wanaosappot, mziki wake .
KgchataTv Godbicko ze mafia ft Caachido new song...Jipe Shavu.
0 comments:
Post a Comment