Msanii wa muziki wa bongo freva, Dimo Classic hivi kalibuni kasema anatarajia, kuachia nyimbo yake mpya .
Msanii huyo anaetokea, Royar Mountain Music Present, amesema kuwa anatarajia kuachia, nyimbo yake mpya inayokwenda, kwa jina la WE Ni NANI? Ambapo kamshilikisha, msanii TASH QEENs, amesema ni bonge la ngoma kali la kufunga mwaka .
Pia kasema toka anaanza game la muziki, msanii dimo classic akiongea na KgTv" leo, amedai kuwa ana track nying alizofanya na anazotaraji kutoa n nyingi zaid nzur na kali sababu project ni nying, sehem tofaut tofaut(studio).
Ambapo kasema nyimbo zilizomuweka, kwenye chart kali ktk album yake japo haijakamilika album, ni 👉Run Ngara na 👉Bongo ndo kwetu, pia kasema anampango wa kuachia album ambapo ataitangaza lasmi .
Classic dimo, changamoto ni nying lakin namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia, na nakoendelea kusonga, pia amewashukur wale wote wanaosuport na kuendelea kusuport mziki wake .
Pia kamalizia, kusema kuwa anaishukuru, kampuni ya @KgChataMedia.com ambao walisimamia kazi zake mpka hapo alipofikia, na kuweza kutoa kaz nyingi na nzur pia naamini tutafika .
Pia amewashukuru wadau wa mziki, kubwa zaidi mashabiki wa mzik wangu bila wao mmi siwez fika kule napotaraji mziki wangu kuufikisha .
@KgchataMedia.com
@KgTvNews.com
0 comments:
Post a Comment