KG CHATA VITU BORA

HABARI NA KGCHATA

Sunday, December 17, 2017

NANA TV KUCHAGULIWA KUWANIA TUZO ZA FAN PAGE FB(face book) @2017 VOTE Nana Tv Tanzania

    Akielezea Boss wa kampuni hiyo Herby Muhile alimaarufu kama Nana Tv, aelezea mpangalio Na jinsi ya kuipigia kura Nana Tv .

    Boss Herby Nana tv akizungumza na KgMedia leo kaanza kwa kuelezea haya .

      CONFIRMED......
     👉Unaweza sasa kupiga kura kwa nana tv kama best unpromoted viewable media fan page, Instagram kwa kufata hatua hizi.     👉 Post picha yoyote andika neno VOTE kwa herufi kubwa kisha tumia hashtag zifuatazo #Nana tv #0250NTVfbpage2017 kisha tutag @nanatv_tz fanya hivo mara nyingi uwezavyo.

     Boss herby Nana tv kaeleza na kusema kuwa mwisho, na muda wa upigaji kura ni tarehe 27/december .

     Pia uongozi wa NanaTvMedia unawashukuru watu wote, wanaoendelea kuipigia kura NanaTvMedia .

      @kgchatamediaNews.com

Share:

0 comments:

Post a Comment

Follow on Facebook

BTemplates.com

Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Search This Blog

[Latest News][6]

mix
NEW AUDIO
New Photos
NEW STORY
NEW VIDEOS

Like us on Facebook

Most Popular this week

Popular Posts

Blog Archive