Msanii janduu akieleze nyimbo yake mpya kutia KgFm Leo jioni amedai kuwa, mziki umekuwa ukishuka kwa sababu ya bifu baina ya WASANII Kwa WASANII na pia kazungumzia jinsi alivopitia changamoto alipoanza Muziki .
Ambapo alisema alianza muziki akiwa ktk hali duni na kukosa MANAGER Wa kusimamia kazi zake ambapo alijikuta akipoteza sifa zake kutokana na kutorecord NYIMBO Mpya kutokana na ukosefu wa PESA Na kujikuta akitembea umbar mrefu kutafuta Studio......!!!
Thursday, November 30, 2017
MSANII JANDUU MWAMBA IMARA AKIELEZEA NYIMBO YAKE MPYA(ngara boy)
MSANII WA MUZIKI BONGO RACKER BOY KUTAMBULISHA NYIMBO YAKE MPYA
Msanii Wa muziki RACKER BOY, kutambulisha nyimbo yake tarehe 1 mwez wa 12.
Msanii huyo wa bongo freva asema kuwa tarehe 1 mwez wa 12 atatambulisha, nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jiana la WAAMBIE Akiwa na SESHA BOY, ambapo ameomba mashabiki wake kuwa wavumilivu mpka siku hiyo msanii RACKER BOYONE .
Kwa kuangalia zaidi nyimbo na #video zake Andika #Racker boyone on #youtube
COSTA MODEL KUACHIA NYIMBO MPYA HIVI KALIBUNI
Msanii COSTA amesema kuwa hivi sasa kaja na ujio mpya, kwa kuachia nyimbo mpya inayoitwa Beby Fine mapema leo akiongea na KgTv amesema hv punde mashabiki wategemee vitu vingi kutoka kwake,
Msanii huyo alietamba kwa nyimbo ya JOTO LA MTAA asema kuwa alikuwa kimya muda mrefu sababu management ilikuwa inafikilia ni ngoma gani ya kwanza kuachiwa baada ya RACKER BOYONE kutoa ngoma kadhaa .
Wednesday, November 29, 2017
YOUNG DEE (BBM) AJIBIWA NA DIMO CLASSIC(BNK)
https://my.notjustok.com/ Msanii Young Dee aliyeimba nyimbo ya BONGO BAHATI MBAYA(BBM) Amejibiwa na msanii Dimo Classic aliyeimba nyimbo ya BONGO NDO KWETU(BNK). Wakiwa katika mchuano mkali Live on "KgTv".kuanzia mida ya saa 4.00 kamili usiku na Presenter wako MAJA BENARD...!!
Sunday, November 26, 2017
Mtazame Producer Wa Kwanza Tanzania Kupewa Zawadi Kubwa Na Mashabiki Wa Tz
Huyu Ni Producer Wa Music Ambae Kashika Namba 1 Nchini Tanzania(Tz) Angalia zaidi Habari kamili picha zote kwa ujumla .