KG CHATA VITU BORA

HABARI NA KGCHATA

Thursday, November 30, 2017

COSTA MODEL KUACHIA NYIMBO MPYA HIVI KALIBUNI

      Msanii COSTA amesema kuwa hivi sasa kaja na ujio mpya, kwa kuachia nyimbo mpya inayoitwa Beby Fine mapema leo akiongea na KgTv  amesema hv punde mashabiki wategemee vitu vingi kutoka kwake,
    Msanii huyo alietamba kwa nyimbo ya JOTO LA MTAA asema kuwa alikuwa kimya muda mrefu sababu management ilikuwa inafikilia ni ngoma gani ya kwanza kuachiwa baada ya RACKER BOYONE kutoa ngoma kadhaa .

Share:

0 comments:

Post a Comment

Follow on Facebook

BTemplates.com

Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Search This Blog

[Latest News][6]

mix
NEW AUDIO
New Photos
NEW STORY
NEW VIDEOS

Like us on Facebook

Most Popular this week

Popular Posts