KG CHATA VITU BORA

HABARI NA KGCHATA

Wednesday, October 24, 2018

SHULE 10 ZILIZOSHIKA MKIA MATATANI MATOKEO DARASA LA (VII)2018

Mtihani wakuhitimu Kidato Cha Darasa La Saba ambao, matokeo yake yametoka hivi punde na Waziki wa Elimu Akiongea na waandishi wa Habri Amesema Mwaka Huu ufaulu umeongezeka kwa %4 kutofautisha na miaka Mingine iliyopita .
Na kuwataka waendelee na mbinu zaidi zitakazoweza kusaidia kuendelelea kujifunza zaidi na kufaulu zaidi 
Share:

Thursday, October 18, 2018

JAZZ BEE KUFANANISHWA NA MASTAA BONGO CHANZO HIKI HAPA AFUNGUKA JAZZ BEE KgChataUpdates2018

Msanii was kizazi kipya Jazz bee Leo kafunguka live on Kgchatamedia, na kutoa hofu kwa Mashabiki kuhusu kufananishwa na mastaa wa Muziki bongo .

Msanii huyu alimaarufu kama Jazz bee Amesema kuwa Ameanza game kitambo Sana ambapo kashafanya kazi nyingi Sana za kisanaa hususa ni katika Muziki wa Bongo freva .

Msanii huyo ambae anafanya Muziki was rap Nchini muda Mchache Kama masaa 4 Baada ya kuachia nyimbo yake Mpya amesema kuwa amepokea comment nying Sana za kunanishwa na Msanii young killer na ma rapper wengine wa Tz.

Akiongea na Kgtv kasema kuwa yye hafani na Msanii yeyote wa bongo na Wala uandishi nanukuu "mimi siimbi Mziki wa mtu Wala uandishi naamini kila mtu anasauti yake na pia uandishi kila mtu anaandika katika Dunia hii" 
Jazz bee nawakalibisha kuisikiliza Nyimbo yangu Mpya inakwenda kwa jina la TUTAFIKA TU .

Mashabiki zangu naombeni saport kubwa Mimi bila nyinyi siwezi kufika mbali 
www.kgchata.blogsport.com
Share:

Tuesday, October 16, 2018

FAMILIA YA BILIONEA MO DEWJ KUTANGAZA DONGE NONO KWA MTU ATAKAETOA TAARIFA YA UPATIKANAJI WA MO DEWJ

Masaa machache Baada ya ukimya Wa upatikanaji wa Bilionea Na Ambae ni Mwenye muwekezaji wa Kampuni ya MOETEL TZ alietekwa na watu wasiojulikana  siku chache zilizopita .

Familia ya Mo Dewj  Yavunja ukimya na Kutangaza Donge nono la sh.Bilioni Moja kwa atakaetoa taarifa sahihi za upatikanaji, was mtoto wao Mpendwa Mo Dewji .

Subscribe my Blog now ili kuwa Updater zaidi was habar za Dunia Nzima 
Share:

Tuesday, October 09, 2018

CHANZO CHA KIFO CHA PRODUCER WA MUZIKI WA BONGO FREVA PANCHO LATINO CHATAJWA LASMI


Habari zilizotufikia hivi punde, nikwamba Msanii na Ambae ni producer wa Mziki wa Bongo Freva #Pancho_Latino Afariki Dunia Akiwa Ufukweni mwa kisiwa Cha Mbudya Jijini Daresaalam Akiwa na wenzake !

Shuhuda wa tukio Hilo adai kuwa alikumwona Pancho Latino na Akiogelewa punde na kuona mtu akizama pasipo kuibuka juu ya maji kwa muda mrefu kidogo ndipo alipochukuwa hatuwa ya kutoa taarifa na uogozi wa Prod huyo kufanyika wakiwa na boti ndogo nakufanikiwa kumutoa na kumfikisha hospital mwana nyamala, ambapo baada ya muda mfupi walipokea sm ya kusikitisha ambapo walilipoti kutokea kwa kifo hocho !
(R.I.P Brother)
Habari kamili tutakufikishia Baada ya habari kamili kukamilika !
Share:

Follow on Facebook

BTemplates.com

Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Search This Blog

[Latest News][6]

mix
NEW AUDIO
New Photos
NEW STORY
NEW VIDEOS

Like us on Facebook

Most Popular this week

Popular Posts