Rapper Huyo Mapema hii akiongea na Kgchata News amesema, kuwa mwaka huu ni wa neema sana kuliko miaka iliyopita kwa kuwa ameona, hatua ziiikua katika muziki wake .
Ambapo mapema hii amesema maisha ya muziki wake yameanza, miaka mingi ya nyuma, ambapo amesema yeye aliposhuka duniani na kipaji cha sanaa, ya mziki ilipoanza papo hapo .
Msanii fox boy kaelezea mengi, sana ikiwemo kuachia nyimbo tofauti ambapo zinakuja soon, fox boy pia ameelezea na kusema kuwa mashabiki ndo nguzo yake kubwa, ili aziwadondoshe ni lazima kuwapa vitu vikali, na vikubwa katika industry ya muziki wa bongo Tanzania.
Malengo yake amesema, kuwa anatarajia mziki wake ufike mbali kutoka Ngara mpka kona zote za dunia ndani na nje ya nchi, ambapo kaelezea pia nyimbo yake Muda ndo huu na kusema ni nyimbo kubwa, sana na anaamini itafika mbali .
@KgChataNews.com
@Full Intervie Gusa youtube channel kgchata tv Tanzania ili kumsikiliza live, fox boy alichokisema kwa upana zaid.
0 comments:
Post a Comment