Hii hapa habari tena kama kawa chama la wana Kgchata Tv, & news Akizungumza Msanii Etco.Pro amesema mengi kuhusu maisha yake ya kimziki na masomo, asema kila kitu kinawakati wake .
Msanii Etcovprod ambae bado ni mwanafunzi katikashule frani, lakin levo za juu kdg amesema kuwa ameishi ndani ya mziki toka mdogo sana na kusema, kuwa anapenda sana music kabla ya kuimba alipenda sana kuproduce nyimbo tofauti za wasanii.
Etco.prod pia amesema, kuwa ukitaka kujua utamu wa ngoma uingie ucheze, ambapo tafsir hiyo kaitoa baada ya kuachia hiti song ya nyimbo yake mpya Mr.Kivuruge, ambayo imetoka soon on social network .
Raper huyo ambae, kazungumzia kuwa na ndoto za kufanya kazi nyingi ili kufika levo ya juu, kama nchi frani za nje, ili kuweza kukuza sanaa amewapa mashavu sana, na kusema kuwa anawapenda, mashabiki, pia amesema yeyote anaeweza kufanya kazi amtafute Etco.prod, kwa kazi yoyote ya kimuziki amemaliza Rapper huyo Etco Pro.
"Nawapenda sana mashabiki, zangu waendelee kunipa sapoti na mimi nawaandalia vitu vikali kwa ajir yao mr.kivuruge Etco.pro"
📶Tufatilie kila siu Masaa 24/7
@KgChata Tv
@KgChta News
0 comments:
Post a Comment