KG CHATA VITU BORA

HABARI NA KGCHATA

Monday, January 07, 2019

KAMPUNI YA FLYOVER IMEWEKA WAZI BEI RASMI YA BIDHAA ZAOO @KgChataNews2019

Kampuni ya Fly Over Iliyoanzishwa Mwishoni mwa Mwaka 2018, December Na kufanya kazi nchini Tanzania Na nje ya Tanzania Imeweka wazi Leo Bei ya bidhaa zao Rasmi ili Kuepusha Usumbufu na Watu wanaojiwekea Bei zao wao Wenyewe Wakiwemo Mawakala Wa Kampuni hiyo na Wasambazi .

Akiongea Leo Manager Masoko, wa kampuni hiyo ya Fly Over Leo Jioni hii January 7/1/2018
Ameweka Wazi Bei lasmi na Kusema Kuwa kwa yeyote Atakaepandisha Bei bila Kuwa na Ruhusa au kibali Cha Kampuni, hiyo Kuchukuliwa Hatua.

Ambapo Amedai Bei za Bidhaa Zao Zitawekwa Kulingana na mzigo unaozalishwa na kupatikana katika Kampuni hiyo Ambapo ameanza kwa kuitambulisha, T.shirt na Mikoba ya kubebea Vitu ambapo Bei hizo Ni sh. Elfu kumi na Tano tu kwa kila T.shirt Moja $15 (15000)

Napia Kaongezea Kwa kusema kuwa Unapopata mzigo wako hakikisha unajipatia na zawadi yako ya Mkoba Mmoja kila ununuapo bidhaa ambapo mzigo wowote utakuwa ukimfikia mteja husika Mikoani/Wilayani Na nje ya Nchi .
@KgChataNewz Tz
Share:

Tuesday, November 27, 2018

PICHA ZAIDI YA MILLIONI MOJA KUCHAPISHWA HADHARANI KWA AJILI YA (HBD) YA MTOTO NCHINI TZ

Hi ni happythday iliyokuwa na Nguvu zaidi ambapo mtoto, alietimiza mwaka mmoja nchini tanzania, Tanzania Alipokuwa akiadhimisha siku yake ya Kuzaliwa pamoja na ndugu zake, ameichukuliwa picha zaidi ya Millioni Moja bila kuurudia nguo hii hapa zitazame zote kupitia @KgTv na @KgChataMedia.

Aidha familia ya mtoto huyo Izack I. Kaparaga akiungana na familia mbali mbali mbali na mitandao ya kijamii, pia Kupitia kampuni ya KgchataMedia. Itaonyesha sherehe nzima Kupitia @KgTv Leo hii muda was saa 10:00 jioni hi Maeneo ya Nyumbani kwaoo.

Akiongea na Vyombo vyetu vya nahar @Manager wa Mtandao wa @KgChataMedia Amesema kuwa anafara yeye pamoja na familia nzima na kuwatakia heri wote waliomwish mwanae kipenzi@Izack na familia yake nzima na pamoja na mtoto wake Kipenzi kwa kufikia siku Kama ya Leo tarh 27/11/2017 ambapo ndo alizaliwa mtoto huyo 
Mungu atujalie uzima na ampe Maisha Marefu hapa Duniani na Kuishi na watu na heshima na adabu Amina.
👇👇👇👇👇
@To follow KgChataMedia kwa updates Zaid
@Fb kgchta
@Instagram Kgtv
@youtube Kgchatatv 
Share:

Wednesday, October 24, 2018

SHULE 10 ZILIZOSHIKA MKIA MATATANI MATOKEO DARASA LA (VII)2018

Mtihani wakuhitimu Kidato Cha Darasa La Saba ambao, matokeo yake yametoka hivi punde na Waziki wa Elimu Akiongea na waandishi wa Habri Amesema Mwaka Huu ufaulu umeongezeka kwa %4 kutofautisha na miaka Mingine iliyopita .
Na kuwataka waendelee na mbinu zaidi zitakazoweza kusaidia kuendelelea kujifunza zaidi na kufaulu zaidi 
Share:

Thursday, October 18, 2018

JAZZ BEE KUFANANISHWA NA MASTAA BONGO CHANZO HIKI HAPA AFUNGUKA JAZZ BEE KgChataUpdates2018

Msanii was kizazi kipya Jazz bee Leo kafunguka live on Kgchatamedia, na kutoa hofu kwa Mashabiki kuhusu kufananishwa na mastaa wa Muziki bongo .

Msanii huyu alimaarufu kama Jazz bee Amesema kuwa Ameanza game kitambo Sana ambapo kashafanya kazi nyingi Sana za kisanaa hususa ni katika Muziki wa Bongo freva .

Msanii huyo ambae anafanya Muziki was rap Nchini muda Mchache Kama masaa 4 Baada ya kuachia nyimbo yake Mpya amesema kuwa amepokea comment nying Sana za kunanishwa na Msanii young killer na ma rapper wengine wa Tz.

Akiongea na Kgtv kasema kuwa yye hafani na Msanii yeyote wa bongo na Wala uandishi nanukuu "mimi siimbi Mziki wa mtu Wala uandishi naamini kila mtu anasauti yake na pia uandishi kila mtu anaandika katika Dunia hii" 
Jazz bee nawakalibisha kuisikiliza Nyimbo yangu Mpya inakwenda kwa jina la TUTAFIKA TU .

Mashabiki zangu naombeni saport kubwa Mimi bila nyinyi siwezi kufika mbali 
www.kgchata.blogsport.com
Share:

Tuesday, October 16, 2018

FAMILIA YA BILIONEA MO DEWJ KUTANGAZA DONGE NONO KWA MTU ATAKAETOA TAARIFA YA UPATIKANAJI WA MO DEWJ

Masaa machache Baada ya ukimya Wa upatikanaji wa Bilionea Na Ambae ni Mwenye muwekezaji wa Kampuni ya MOETEL TZ alietekwa na watu wasiojulikana  siku chache zilizopita .

Familia ya Mo Dewj  Yavunja ukimya na Kutangaza Donge nono la sh.Bilioni Moja kwa atakaetoa taarifa sahihi za upatikanaji, was mtoto wao Mpendwa Mo Dewji .

Subscribe my Blog now ili kuwa Updater zaidi was habar za Dunia Nzima 
Share:

Tuesday, October 09, 2018

CHANZO CHA KIFO CHA PRODUCER WA MUZIKI WA BONGO FREVA PANCHO LATINO CHATAJWA LASMI


Habari zilizotufikia hivi punde, nikwamba Msanii na Ambae ni producer wa Mziki wa Bongo Freva #Pancho_Latino Afariki Dunia Akiwa Ufukweni mwa kisiwa Cha Mbudya Jijini Daresaalam Akiwa na wenzake !

Shuhuda wa tukio Hilo adai kuwa alikumwona Pancho Latino na Akiogelewa punde na kuona mtu akizama pasipo kuibuka juu ya maji kwa muda mrefu kidogo ndipo alipochukuwa hatuwa ya kutoa taarifa na uogozi wa Prod huyo kufanyika wakiwa na boti ndogo nakufanikiwa kumutoa na kumfikisha hospital mwana nyamala, ambapo baada ya muda mfupi walipokea sm ya kusikitisha ambapo walilipoti kutokea kwa kifo hocho !
(R.I.P Brother)
Habari kamili tutakufikishia Baada ya habari kamili kukamilika !
Share:

Tuesday, September 25, 2018

HIZO FEDHA NI ZA RAMBI RAMBI TU KWA WAFIWA ASEMA WAZILI MKUU WA TANZANIA

Waziri mkuu wa Tanzania Amesema kuwa kuwa pesa zote, zinachotolewa kwa ajiri ya wafiwa wa Mv.Nyeree zitafanya shuguli za lambi lambi tu na sio shuguli zingine 
Zaidi Soma hapa👇👇👇👇(Maneno) ya wazili mkuu wa Tanzania 
Share:

Monday, September 24, 2018

WALIOPATA AJARI NA MV NYERERE MIILI IPATAYO 224 LEO KUAGWA RASMI

Viongozi wa Serikali na watanzania wote Leo hii wanaungana kuwaaga wenzetu waliopata ajari. Ya meli ndogo Mv.Nyerere iliyotoke juzi Maeneno ya kisiwa Cha ukara mkoa wa Mwanza Tanzania

Tia neno moja kwa wenzetu waliotangulia mbele za haki Comment neno moja kwa ndg Zetu Hawa .

Share:

Wednesday, April 04, 2018

NANA BRAND (HOUSEHOLD's) RASMI KUZINDUA BIDHAA YAO MPYA YA SUBUNI@2018KgChataNews

Nana Company L.T.D Leo hii Imezindua Lasmi bidhaa, yao mpya ya Sabuni .

Bidhaa hiyo ambayo imethibitishea na TBS Tanzania, ambayo in kwa ajiri ya usafi wa majumbani .

Aidha nikiongea na Mkurugenzi wa Kampuni ya Nana Brands amesema kuwa bidhaa hiyo, inapatikana katika ujazo wa Lita 5 .

Sabuni hiyo ya kimiminika ambayo, inatumika kusafisha, masinki, vyoo, sakafu, kunawia mikono nk imethibitishwa kwa ubola zaid Duniani.
Kwa mahitaji zaidi, wasiliana nao kwa namba zifuatazo, 0768595945.

Pia kwa mahitaji zaidi, wasiliana na namba hizo ili kuweza kupata bidhaa hiyo popote pale nchini, unaweza kufikishiwa mzigo kwa jumla na rejareja 

kgchatanewsTz
Share:

Tuesday, February 13, 2018

BE MY VALENTINE DAY DIMO CLASSIC LIVE KWA MARA YA KWANZA JUKWAANI ROCK CITY MWANZA@KgChataNews2018


Mapema hii Dimo classic akiongea na KgChataNews Amesema kuwa sijawahi kuimba live band jukwaani .

Amabo msanii wa bongo dimo amepewa shavu usiku wa valentine kwa kuimba nyimbo zake live na masataa kibao wa mwanza ambapo, kasema hataiangusha Land Music ya Ngara kwa ujumla na Taiifa.

Pia Staa Huyo ambae saiv ameelezea kuwa Saiv yuko na Mood ya paper/ au mtihiani wake shuleni lakina amedai, kumualika katima usiku wa valentine, kumemuongezea zaid nguya ya kushinda mifihani yake yote inayoanza juma tatu hii.

"NIANA IMANI NA MAISHA NA MUZIK WANGUZ KITU CHA KWANZA DUNIANI NI WAZAZI PILI NI MIMI TATU NI FANI AMBAYO IKO NDANI YANGU, sitawangusha kwa kuwa mziki wa live unahitaji ujasir na Akili na hmakini zaidi, Dimo classic.
Shukran kwa kila anae sapoti muziki wetu, thnx pia kwa kgchatanews kwa sapoti"

KgchataNews.Com kwa Kuipata nyimbo yake Be My Valentine Gusa KGChata Tv tanzania .
Share:

Friday, February 09, 2018

MSANII MC PARAGONI ASEMA ANAWAKUBARI ZAIDI UNDERGROUND ARTS'T KULIKO MASTAA@KgChataNews2018

Msanii wa muziki Tanzania Rapper Mc paragoni, akiongea na Kgchata tv amesema kuwa anakubali marapa Underground kuliko master.

Mapema hii amefunguka alipokuwa, anaelezea maisha na muziki wake toka aanze, game ameanza kwa kusema kuwa, ameanza game akiwa mdogo kwa kusikiliza, nyimbo nakugundua kuwa anaweza kuandika na kuimba, akiwa sgule ya msingi .

Msanii na Rapper Mc Paragoni, amesema na kuelezea misingi ya rap hip hop ya bongo na nje ya bongo, akisisitiza kuwa heshima ya hip hop rap, haipewi ushirikiano na vyombo husika.

Mc huyo meongea kuwa, mashabiki na management, itakayojitokeza kusimamia kaz au kikundi chake kufata misingi imara ya usimamizi, wa management .
Afunguka Mc paragoni 

@KgChataNews
@Kgchata tv Tanzania
Kwa full interview Live, gusa youtube kgchata kumsikiliza live 
Share:

MSANII FOX BOY AKA HANGAZA GHOST ALICHOKISEMA KUHUSU MUZIKI WAKE MPYA@KgChataNews2018

Rapper Huyo Mapema hii akiongea na Kgchata News amesema, kuwa mwaka huu ni wa neema sana kuliko miaka iliyopita kwa kuwa ameona, hatua ziiikua katika muziki wake .

Ambapo mapema hii amesema maisha ya muziki wake yameanza, miaka mingi ya nyuma, ambapo amesema yeye aliposhuka duniani na kipaji cha sanaa, ya mziki ilipoanza papo hapo .

Msanii fox boy kaelezea mengi, sana ikiwemo kuachia nyimbo tofauti ambapo zinakuja soon, fox boy pia ameelezea na kusema kuwa mashabiki ndo nguzo yake kubwa, ili aziwadondoshe ni lazima kuwapa vitu vikali, na vikubwa katika industry ya muziki wa bongo Tanzania.

Malengo yake amesema, kuwa anatarajia mziki wake ufike mbali kutoka Ngara mpka kona zote za dunia ndani na nje ya nchi, ambapo kaelezea pia nyimbo yake Muda ndo huu na kusema ni nyimbo kubwa, sana na anaamini itafika mbali .

@KgChataNews.com
@Full Intervie Gusa youtube channel kgchata tv Tanzania ili kumsikiliza live, fox boy alichokisema kwa upana zaid.

Share:

Monday, February 05, 2018

MSANII WA MZIKI PIA AMBAE NI PRODUCER WA MUZIKI WA BONGO ETCO PRO. HIVI KALIBUNI KAZUNGUMZIA NYIMBO YAKE MPYA@KgchataNews2018

Hii hapa habari tena kama kawa chama la wana Kgchata Tv, & news Akizungumza Msanii Etco.Pro amesema mengi kuhusu maisha yake ya kimziki na masomo, asema kila kitu kinawakati wake .

Msanii Etcovprod ambae bado ni mwanafunzi katikashule frani, lakin levo za juu kdg amesema kuwa ameishi ndani ya mziki toka mdogo sana na kusema, kuwa anapenda sana music kabla ya kuimba alipenda sana kuproduce nyimbo tofauti za wasanii.

Etco.prod pia amesema, kuwa ukitaka kujua utamu wa ngoma uingie ucheze, ambapo tafsir hiyo kaitoa baada ya kuachia hiti song ya nyimbo yake mpya Mr.Kivuruge, ambayo imetoka soon on social network .

Raper huyo ambae, kazungumzia kuwa na ndoto za kufanya kazi nyingi ili kufika levo ya juu, kama nchi frani za nje, ili kuweza kukuza sanaa amewapa mashavu sana, na kusema kuwa anawapenda, mashabiki, pia amesema yeyote anaeweza kufanya kazi amtafute Etco.prod, kwa kazi yoyote ya kimuziki amemaliza Rapper huyo Etco Pro.

"Nawapenda sana mashabiki, zangu waendelee kunipa sapoti na mimi nawaandalia vitu vikali kwa ajir yao mr.kivuruge Etco.pro"

📶Tufatilie kila siu Masaa 24/7 
@KgChata Tv
@KgChta News
Share:

Follow on Facebook

BTemplates.com

Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Search This Blog

[Latest News][6]

mix
NEW AUDIO
New Photos
NEW STORY
NEW VIDEOS

Like us on Facebook

Most Popular this week

Popular Posts