Habari iliyotufikia Mapema Ya Mh.Tundu Lissu aliepata ajar ya kupigwa Lisasi Nawatu wasiojulikana, na kujeruhiwa akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake, Ambapo alikimbizwa Kenya kwa ajir ya matibabu, na kufanikiwa kwa kiasi kujaribu kizitoa risasi zilizokuwa ndani ya mwili wake .
Mh.Tundu Lissu akiongea, kutoka ubeligiji mapema hii amedai kuwa madaktari wamefanikiwa, kuiondoa risasi iliyobaki ndani ya mwl. Wake mara baada ya kutolewa nchni kenya.
Tundu Lissu Kaongea haya" Mungu ni mwema risasi iliyobaki ndani ya Mwili wangu imefanikiwa kutolewa na Madaktari wa Ubelgiji".
0 comments:
Post a Comment