Msanii wa muziki wa bongo Rainfall ambae anakwenda kwa jina la Fidel ameongea mapema hii na KgChata News ambapo kauzungumzia mziki wake mpya unaokwenda kwa jina la baba la baba.
Msanii Rainfall pia kaelezea historia ya mizik wake mpya ambao ameanza miaka ya nyuma enzi yuko shule ya msingi ambapo alianza kwa kuimba nyimbo, za watu na kutumia beats za watu hisusa ni kwenye sherehe za shule, harusi na kadhalika .
Msanii huyo wa muziki wa bongo Ambae kwa muda murefu amekuwa akifanya kazi ya Muziki peke yake ambapo mwaka huu mwezi wa kwanza kapata,shavu la kumanagiwa na Kampuni ya KgChataMedia, ambapo toka aanze kusimamiwa na kampuni hiyo, ameachia kibao cha kwanza kinachokwenda kwa jina la baba l baba .
Msanii Rainfall wa bongo freva amesema kuwa, anawaheshimu na kuwathamin mashabiki wake wa muziki wake na kuwaahidi, mengi mazur kutokea kampuni, hiyo ya Kgchata ambapo kaahidi kuachia video ndani ya mwezi wa 4
KgchataMediaNes@2018
0 comments:
Post a Comment