Katika usiku wa kumtambulisha maromboso wa WCB mkubwa fella alisema kuwa anatamani sana Diamond, kabla hajafa afanye kolabo na Alikiba.
Kwenye Exclussive diamond alipoulizwa hilo alijibu kuwa atafanya kolabo na alikiba kwani hakuna ubaya wowote kati yake na alikiba .
Diamond alikuwa akimzungumzia, maromboso kwa ujio wake ikiwa hiv kalibuni kasajiliwa na WCB amesema kuwa kila mtu ana ridhiki yake na mashabiki wake wakimziki, pia
kaongezea kusema kuwa so msanii kujivunia mashabiki bali ajivunie kwa kidogo anachopewa na Mungu, ili aweze kuisaidia familia yake na majirani asema Star wa muziki nchini Diamond Platnums