
Thursday, December 28, 2017
KG CHATA KUZINDUA LASMI PROJECT YAKE MPYA JANUARY 1/2018 (kgchata tv online chanel #youtube)@2017

Friday, December 22, 2017
MSANII WA MUZIKI WA BONGO FREVA RICK MELODY KUZUNGUMZIA MZIKI WAKE @2017
Msanii huyo anaekwenda kwa jina la Erick Kazungu Aka. RICK MELODY Akiongea na KgNews mapema leo kutoa historia yake fupi ikiambana na siku yake ya kuzaliwa leo 22/12/2017.
Ameanza kwa kusema sanaa, ya uimbaji ameanza toka akiwa mtoto mdogo, kwa kucheza na kusikiliza nyimbo na kutizama kwenye tv .
Alipokuwa alianza music wake lasmi akiwa shuleni, na kupaform sehemu, tofauti tofauti kwa kurudia nyimbo za watu wakitambo kile, kama Amini, Barnaba nk alisema Rick melody.
Mziki wake ulikuwa zaidi, alipoanza kufanya kazi zake mwenyewe mnamo mwaka 2011 ambapo alikutana, na prod NAZDA Mjini mwanza na kufanya kazi ambayo ilikuwa heart Fura yangu, ambapo alikubalika na mashabaki pia kufanya interview nying na kujikuta, kapata Management chini ya usimamiz wa Studio/Nusder Paints Mwanza, ambapo alifanya vzur na kuendelea kuto heart song kibao mpaka ssa .
Either Rick Melody, ambae kwa ssa yupo ktk info FINAL MUSIC, akisherekea siku yake ya kuzaliwa leo amedai kuwa kuna project, nying sana ambazo wakati wowote sitaachiwa .
Pia kaeleza kwa nn alikuwa kimya muda mrefu, ambapo kadai kuwa alisubir project za msanii mpya Dimo Classic ambae, alikuwa akiachia nyimbo yake mpya kutoka ktk managment hiyo japo bado hajasign lasmi kuwa ktk lebal hiyo .
Rick Melody kamaliza kwa kusema kuwa, Mashabiki wake waendelee kumpa suport na anawahid mambo, mazur ambapo kadai ziko kaz nying kutokana na mambo madogo ya familia kuingilia so kessy soon naachia mzigo 1 baada ya mwingine alisema msanii huyo rickmelody .
KgMediaNews.com inampa kheri ya siku yake ya kuzaliwa, Big Brother Rick Melody akupe miaka yote Amen
Thursday, December 21, 2017
Monday, December 18, 2017
JASHO LA BINADAMU KUGUNDULIWA NA KUTHIBITISHWA KUWA NI TIBA YA KUKAUSHA VIDONDA KWA BINADAMU@2017
KgNewsMedia ikiongea na Mgunduzi, huyo ameanza kwa kusema kuwa .
Jina lake anaitwa Ester Gasper, kutoka, mkoa wa kagera Tanzania ambapo, ameanza kwa kusema yeye alianza kusoma akiwa shule alipenda kuwa mbunifu wa vitu mbalimbali hasa akitaman sana kuwatibu viumbe hasa Mifugo .
Alipohitimu shule yake ya secondary, alifauru na kuchaguliwa kujiunga na chuo cha mifugo, na kilimo Mkoani Bukoba Maruku, ambapo aliosoma kwa taklibani miaka 2 kwa ngaz ya diploma.
Amesema uchunguzi huo, ulimjua na kila mara kuwa akiwazia kitu hcho, ambapo siku moja akiwa katika mazoez yake alijikuta akiumia mguu na kuchubuka, sana ambapo mguu wake ulivuja damu na alikuwa mbali, na hospitali amesema alipoona damu zinavuja kwa wingi, akaamua kutumia jasho lake lilikua likimtoka kwa kazi kutokana na mazoezi yake nakuitoa kwa mkono na kutia ktka kidonda kile na papo hapo kidonda kukauka na damu kukakata, na kidonda kuanza kukaauka ndani ya dkka 2 toka alipotia jasho hilo .
Ambapo aliamini kuifanyia, uchunguzi zaid kwa watoto waliokuwa wakipata injali za kuumia, michubuko, miwasho ya kila aina nk.
Pia kaelezea changamoto, kubwa inayomsibu, kumuumiza kichwa ambapo ametaja ugumu unaojitokeza mpka sasa kuipata prodact hiyo ya jasho ili kuifanya kuwa kimiminika, kutangaza soko .
Aidha kasema anatoa somo, kwa mtu atakae pata, injali ya aina hiyo kuweza kujitibu kwa haraka kupitia jasho lake la mwili na kusubili, kuwahishwa hospital pia amesema anaendeleanluchunguza zaidi ili kuja kuiweka waz, lasmi jinsi ya upatikani na njia za kufanya kupata dawa hiyo toka ndani ya mwli wake kwa muda husika atakapo kuwa kaumia .
Fatilia KgChataMedia kila siku ili kujua, mambo yatakayokuwa yakijili kuhusu tiba hiyo ya miili yetu ssi yani (JASHO) La (Binadamu).
Tufatilie zaidi hapa kw habar moto moto KgChatamedia.com
👉Fb--Kgchata
👉Page--Kgchata
👉Blog--Kgchata
👉Instagram--Kgchata
Sunday, December 17, 2017
NANA TV KUCHAGULIWA KUWANIA TUZO ZA FAN PAGE FB(face book) @2017 VOTE Nana Tv Tanzania
Akielezea Boss wa kampuni hiyo Herby Muhile alimaarufu kama Nana Tv, aelezea mpangalio Na jinsi ya kuipigia kura Nana Tv .
Boss Herby Nana tv akizungumza na KgMedia leo kaanza kwa kuelezea haya .
CONFIRMED......
👉Unaweza sasa kupiga kura kwa nana tv kama best unpromoted viewable media fan page, Instagram kwa kufata hatua hizi. 👉 Post picha yoyote andika neno VOTE kwa herufi kubwa kisha tumia hashtag zifuatazo #Nana tv #0250NTVfbpage2017 kisha tutag @nanatv_tz fanya hivo mara nyingi uwezavyo.
Boss herby Nana tv kaeleza na kusema kuwa mwisho, na muda wa upigaji kura ni tarehe 27/december .
Pia uongozi wa NanaTvMedia unawashukuru watu wote, wanaoendelea kuipigia kura NanaTvMedia .
@kgchatamediaNews.com
MSANII WA MUZIKI BONGO FREVA DIMO CLASSIC KUZUNGUMZIA NYIMBO YAKE MPYA (wewe ni nani?) @2017
Msanii wa muziki wa bongo freva, Dimo Classic hivi kalibuni kasema anatarajia, kuachia nyimbo yake mpya .
Msanii huyo anaetokea, Royar Mountain Music Present, amesema kuwa anatarajia kuachia, nyimbo yake mpya inayokwenda, kwa jina la WE Ni NANI? Ambapo kamshilikisha, msanii TASH QEENs, amesema ni bonge la ngoma kali la kufunga mwaka .
Pia kasema toka anaanza game la muziki, msanii dimo classic akiongea na KgTv" leo, amedai kuwa ana track nying alizofanya na anazotaraji kutoa n nyingi zaid nzur na kali sababu project ni nying, sehem tofaut tofaut(studio).
Ambapo kasema nyimbo zilizomuweka, kwenye chart kali ktk album yake japo haijakamilika album, ni 👉Run Ngara na 👉Bongo ndo kwetu, pia kasema anampango wa kuachia album ambapo ataitangaza lasmi .
Classic dimo, changamoto ni nying lakin namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia, na nakoendelea kusonga, pia amewashukur wale wote wanaosuport na kuendelea kusuport mziki wake .
Pia kamalizia, kusema kuwa anaishukuru, kampuni ya @KgChataMedia.com ambao walisimamia kazi zake mpka hapo alipofikia, na kuweza kutoa kaz nyingi na nzur pia naamini tutafika .
Pia amewashukuru wadau wa mziki, kubwa zaidi mashabiki wa mzik wangu bila wao mmi siwez fika kule napotaraji mziki wangu kuufikisha .
@KgchataMedia.com
@KgTvNews.com
TANZANIA YATANGAZA KUFUNGIA ACCOUNT YOYOTE YA MTU ATAKAE POST PICHA ZA UCHI MTANDAONI @2017
Hii imetolewa kufuatiwa na Agizo la Mheshimiwa Dk John Joseph Magufuli, Rais wa Tanzania kupiga marufuku, Tv yoyote kucheza au kuonyesha nyimbo yoyote iliyo na utupu ndani yake .
Pia Tanzania, Azitaka taasisi maalumu ya kupambana na maadili ya nchi kufata utaratibu na kuchukua hatua, kwa watu watakao kiuka utaratibu huo .
Pia tanzania yaombwa kua na heshima ili, kujenga uzalendo ulio wema kwa taifa hili ambapo imetajwa, kua Tz wadada wameongoza kutokua na maadili, kupolomoka kufuatiwa kuvaa nguo zisizo na heshima kwa jamii, ikifatiwa na wakaka kuvaa nusu uchi, wakiachia six pack .
Pia wakaka wengi, wakivaa nusu ya makalio yao yani (Mlegezo) wakidai ndo fashion ssa tabia hii inarudisha nyuma uzalendo wa nchi yetu .
Tv au Mitandao ya kijamii, kutangazwa lasmi kufungwa kwa mtu atakaebainika, kupost au kucheza video/Picture ya uchi bila ufataji wa sheroa na kuchukuliwa hatua kali .
@2017KgChataMediaNews.com
J KHAN NGARA HOOD BROTHER KUSHUSHA MZIGO MPYA WA PAMBA KALI MJINI NGARA @2017
J Khan aka Juma Hamduni mfanya biashara maarufu ya nguo, mzini ngara amesema kuwa kashusha mzigo mpya wa nguo kali jinsia ya kiume, na viatu vikali vya kiume .
Zaidi J khan kasema hii ni funga mwaka kwa kua kafanya kama suprise cz ikiwa kama imeambatana na siku yake ya kuzalia hii leo .
Akihojiwa na KgTv amesema watu wasogee dukani kwake, ni mjini ngara, soko kuu upande wa nje juu ya soko hilo ndipo anapatikana ili kuweza kujipatia, pamba kali ili kupendeza na kuonekana name muonekano mzuri .
J khan katoa ofa kwa watu 5 watakao kuwa wa kwanza, kupata mzigo huo atashusha bei ikiwa ndan ya wiki moja tu na ofa kuisha .
Akisherekea siku yake ya kuzaliwa kawashukuru, wote wanaondelea kumwish ktk siku yake hii ya kuzaliwa so jiunge nasi ili kupata vitu vikali zaidi J KHAN HOOD BROTER'S SHINE NGARA BROOD HOME SWEET
Timu nzima ya kgchatamedia, yaungana na ma hood home brothers j khan kufrahia na kumwish, siku yake hii ya kuzaliwa God bless all ma people .
@2017kgmedia.com
Tuesday, December 12, 2017
RAISI MAGUFULI AWAPA MAKAVU WASANII WANAOVAA NUSU UCHI WAKIFANYA SHUGULI ZAO ZA MUSIC/VIDEO/SHOW/LOCATION @2017
Mwenyekiti wa CCM, Raisi Magufuli amekerwa vikali, na na mamlaka zinazohusika na bodii ya maadili nchini, dhidi ya wasanii wanaoimba majukwaani wakiwaa na mavazi ya utupu, kauli hii ameitoa leo juma nne akiwa anafungua mkutano wa jumuia ya wazazi CCM utakaofanyika siku mbili mjini Dodoma .
Raisi Magufuli, amehoji vyombo vya habari wasimamizi wa maadili na taasisi zinazodhibiti kushindwa kudhibiti, maadili ya vijana .
Msingi wa kauli hiyo ilikuwa kumtaka, kiongozi wa jumuia hiyo atakae patikana kwenda kusimamia, vijana na Taifa kwa ujumla .
Raisi magufuli aliwataka wazazi hao kwenda kusimamia maadili ya vijana na watanzania wote .
"Hii ni jumuia ya wazazi lakini, maadili yameanza kupotea na jumuia ipo kwa ajiri ya kukemea, mimi nimekuwa shabiki mzuri wa mziki, wanaovaa utupu ni wanawake wanaume wanacheza wamevaa sanasana wataachia kifua, waz ili waonekane "six pack" lakini wanawake waliowengi wanaachia viungo vyao".
Raisi Magufuli amesema alipofika bila kujali itkadi yoyote, ya vyama kuungana, katika ujenzi na ulinzi wa maadili ya watanzania .
Monday, December 11, 2017
MSANII WA BONGO FREVA GODBICKO ZE MAFIA KUZUNGUMZIA MZIKI WAKE MPYA Song...JIPE SHAVU @2017
Msanii huyo anayekwenda kwa jina la Godfrey William Sahini, aka Godbicko ze mafia akieleze nyimbo yake mpya ya Jipe shavu, mapema hii .
Kasema kuwa hakuna msanii aliyemsukuma, mpka yye kuanza rap lakin kasema kua ni yye mwenyewe kujiona, kuwa anakipaji cha kufanya game la kuimba, na kuanza kufanya mziki wake wa bongo freva.
Ze mafia pia kasema kuwa, msanii anaemkubali Bongo ni Stamia aka Rostam na nje ya Tz ni wiz khalifa, pia mafia kataja kuachia ngoma yake mpya December hii .
Pia amesema kuwa kwa sasa hana, management yoyote anafanya muziki wake mwenyewe, pia kasema kua yeye anasimamia muziki wa ngara yani "Ngara Hiphop" akiwa na wenzake wengi .
Pia kaongera matalajio ya muziki wake, ambapo kasema kuwa Muziki wake anataraji kuufikisha, mbali ndani na nje ya Tanzania, pia kawashukuru wote wanaosappot, mziki wake .
KgchataTv Godbicko ze mafia ft Caachido new song...Jipe Shavu.
KG CHATA MEDIA CREW KUZINDUA LOGO YAO MPYA LASMI LEO Tz @2017
Boss wa mtandao wa KgMedia TvNetwork, Ambae anaeleze uzinduzi wa LOGO yao mpya ya "KgChata Beat Maker" Amesema haya mapema hii akihojiwa na KgTv" Live .
Boss huyo wa mtandao wa kgmedia.com anaeitwa, Innocent kaparaga, aka kgchata ameelezea kwa ufupi kampuni yake ya kgmediacrew.
Ambapo ameelezea, kuwa Kampuni ya kg imefungulia miaka mi 4 iliyopita na kuanza kufanya kazi na kutambuliwa na wanachi wengi mwaka juzi, ambapo amesema kwa kifupi anaishukuru management nzima kwa mafanikio yaliyopatikana, amabapo kadai baadhi ya jamii kuweza kuelewa kwa kazi ya kampuni hiyo, inavofanya kazi .
Pia Boss Manager kgchata kachukua fursa kuishukuru Media, nzima na familia yake pamoja na watu wanaozidi, kuisapot Media na Tanzania kwa ujumla ambapo kaswma ktka safari nzur ya mafanikio huwa kunachangamoto .
Changamoto hizo kaelezea kwa ufupi kuwa, ilikiwa ni ucheleweshaji wa Blog,Tv,Page kuchelewa kufunguliwa lasmi na kuanza kufanya, kazi ambapo kaelezea kuwa ilikuwa ni ucheleweshaji wa malipo ya awali .
Manager kgchata, kazishukuru media nzima za Tz na wasanii kuendelea, kumpa sapoti ili kuweza kufanikisha shuguli za kampuni hiyo .
@KgchataMedia TvNetwork.com kuzindua Logo yao mpya inayoitwa, "kgchatabeatMaker"
Shukrani kwa wote mnaoifatilia KgMediaTV.com
Sunday, December 10, 2017
TANZANIA KUPOTEZA WANAJESHI 12 KATIKA MAPIGANO INCHINI CONGO
Habari Tanzania kupoteza wanajeshi 12 na wengine kujeruhiwa, katika jamuhuri ya kidemocrasia nchini Congo wakipigania Amani .
Tanzania yawaenzi wanajeshi hao ambao, walikuwa wazalendo katika nchi yao ya Tanzainia .
Wakiwa katika sherehe za uhiru, hapo jana 9/12/2017, watanzania wote wakiungana na na ndugu wa marehemu, hao wakienzi mashujaa hao wa Tanzania waliopoteza maisha .
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa Ambapo uhuru huo umeongozwa na Mgeni lasmi Dkt. John Pombe Magufuli, na viongozi wa juu kuongoza uhuru huo .
KgTv sponsored by kgmedia.com
Saturday, December 09, 2017
DADDY MASHONA NEW SONG STOP WAF Official Audio FINAL MUSIC PRESENT@2017
Msanii wa muziki 👉Daddy Mashona, kutoka 👉Final music Presents kuachia lasmi, nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la 👉STOP WAR, Mapema leo siku ya Uhuru wa Tanzania.
Nikiongea na Compony ya 👉Nana Tv leo boss wa 👉Herby wa Nana Tv amesema kuwa, wameachia nyimbo hiyo kama suprise au dedication👈, kwa 👉Askari wengi wanaoendelea kufa Africa kutokana na vita .
👉Pia Final Music wamesema kuwa, wametoa nyimbo hiyo lasmi kwa kuwa, vita vinapotokea watu wengi huteseka, watoto, Wanawake na pia wananchi wengi hupoteza maisha yao, wasiokuwa na hatia kwa sababu ya vita hvo .
Pia msanii huyo na crew ya 👉Final studio na 👉Nana Tv, wamesema wameiachia leo kwa kua ndo wameoma, itakuwa siku nzuri kwa ni sikukuu ya Uhuru wa Tanzania kuwa inafana sana, Boss wa Nana Tv kusema kwa mala ya kwanza mtaisikiliza live on #youtubeNanaTv👈
KgTvMedia tunaishukuru NanaTv na final studio kwa kukubali kufanya mahojiano na kgMedia
KgTvallrighgtreserved@2017
TANZANIA KUAZIMISHA MIAKA 56 YA UHURU
Leo tarehe 9/12/2017,Tanzania kuazimisha miaka 56 ya uhuru ambapo watanzania wengi wamwjitokeza kuadhimisha, uhuru huo .
Mgeni lasmi ambae ni Dr. John Pombe Magufuli, na viongozi wengine wa juu wa serikali Wazili mkuu Mama Samia thruu na waziri mkuu Kassim Majaliwa, na mawazili pia na viongozi wa dini kuhudhuria, uhuru huo .
Pia Tanzania tunawakumbuka, waliopigania uhuru wa Tanganyika pia wanajeshi, viongozi waliopigana na kuikomboa nchi ya Tanzania .
Pia Tanzania yakumbuka, wanajeshi zaidi ya kumi na nne waliofariki, ktk mapigano yaliyotokea nchi ya kongo .
Mungu ibariki tanzania Mungu ibariki Africa Mungu Ibariki Dunia nzima .
Thursday, December 07, 2017
YEMI ALADE SUPPORTS GOAL 5 GENDER EQUALITY (#GLOBALGOALS)
YEMI ALADE SAYED THAT
👉I SUPPORT#17 SUSTAINABLE GLOBAL GOAL.👇👇👇
GOAL 5:GENDER EQUALITY.👈
"women's status in society has become the standard by which humanity's progress toward civility and peace can be measured".
MSANII WA BONGO COMEDY AKILI MBOVU KUACHIA RASMI CLIP ZAKE ZA VICHEKESHO (Hakimu wa 4G)
Msanii wa bongo Comedian 👉Athuman Mzamiru, H star Aka Akili Mbovu mwenye umri wa 👉👉miaka 22, ambae amsema kuwa kazi ya Uigizaji wa Comedi, ameanza kazi hiyo alipozaliwa na kuanza rasmi kuongea👈 .
Pia amesema kuwa sanaa ameanza toka shule ya msingi,👈 ambapo move yao ya Demo Ameanza kutoa mwaka 2011,👈 pia kaongeza kusema pia wana movie ya pili ambayo ilitoka alifanya na star wa bongo 👉Tin white, move ya tatu alifanya na 👉Asha boko ambapo ya nne kafanya na 👉Diana kimalo Aka 👉Danija .
Msanii huyo amedai kuwa mtu/Msanii aliemvutia mpaka kuingia kwenye Tasnia ya filam Comedy ni👉MPOKI, kasema kuwa anakubali kazi zake kuchukua muda mrefu kumfatilia mchekeshaji huyo(mpoki)👈.
Pia msaii 👉Akili Mbovu amesema kuwa, mashabiki wake wategemee vitu vizur kutoka, kwake kasema kuwa bila wao hawezi kuwa yeye.
KgTvallreseevedon👉AkiliMbovu watching comedi on akilimbovu hakimu wa 4g .
Wednesday, December 06, 2017
MSANII WA BONGO FREVA ALLY DALLA KUACHIA NYIMBO MPYA new song(WEMBE)
Msanii huyo 👉Ally Dalla mapema leo akiongea na KgTv, 👈amesema kuwa muziki ameanza zamani, sana ambapo hakuweza kurekodi kutokana na uhaba wa fedha .
Pia msanii huyo ameongeza, ameongeza kusema kuwa kabla ya kuanza kuimba, muziki wa bongo freva alinza kuwa Dancer👈 wa muziki huo, ambapo amesema kuwa .
Kabla hajaanza uimbaji ameanza kudance kwa waimbaji kam Frola Mbasha,👈 Bahati Bukuku,👈 na Masanja Mkandamizaji👈 pia ambapo kasema kuwa kuwa, aliaikia tangazo kwa Haemonize(WCB)👈 kuwa anatafta madancer.
Msanii huyo ndipo akaenda kufanya kaz na msanii huyo Harmonize(WCB)👈 ambapo alifanya kazi takribani mwezi mmoja na kutoka, na kuamua kufanya muziki wake ambapo hakutaja sbabu zilizofanya kutoka kwa staa hiyo mkubwa👉 Harmonize(WCB).
Msanii huyo ameongezea kusema anawashukuru, watu wote waliompa kampani na kumfanya kufikia hapo, alipodika na anawaomba mashabiki na wasanii mapresenter kuwapa sapoti ili kuufikisha, muziki wake sehemu furani ambapo unatakiwa kufika .
KgTv"allreservedon2017 👈Ally Dalla new song....WEMBE Ipakue on @Mkito.com .
Tuesday, December 05, 2017
DJ WA DIAMOND PLATNUM ROMYJONES KUFUNGA NDOA LASMI NA MKEWE (WCB)
Dj RomyJones👈 wa WCB(wasafi crew) kufunga ndoa na mkewe lasmi jana, na kufanya sherehe kubwa ikilinganishwa kuwa ya 3 Tz. Kwa kuwa na uwingi wa watu .
Ambapo akihojiwa na KgTv" jana aliwashukuru, watnzania na crew nzima na kumahukuru mkewe kwa, kufikia hatua hiyo wakiwa salama na afya tele .
Pia DjRomyJones ameishukuru, kamuni ya "WASAFI"(WCB) Crew kwa kumpa kampani, kubwa wakiambatana na familia za pande zote 2.
@RomyJones
@SiamondPlatnums
@Zari the boss lady wakiwa ndo washenga, kwa harusi hiyo kubwa ya djjonesromy, Ambayo imevunja rekodi kuhudhuriwa na mastaa wakubwa wa Bongo.
Sj wa DiamondPlatnums kufunga ndoa jana majila ya mchana djromyjones thx suport funs wote mlokuja God bless Peoples Tanzanian .
MTOTO MCHANGA MWENYE UMRI WA SIKU NNE ATUPWA SHIMONI NA KUKUTWA MZIMA AKIWA NA SIKU SITA
Mtoto huyo alietupwa na mama yake ndani ya shimo akiwa na umri wa siku 4👈 tu amekutwa ndani ya shimo takribani siku 6 👈 akiwa mzima .
Ambapo Dawati la Police wanawake mkoa wa RUVUMA👈, Wakiwa na wauguzia kuangalia usalama wa mtoto, Huyo aliye tupwa.
Kutoka kulia ni Muuguzi Rukia, Twahili, Anayefuata Devoda Umbela na Aliye mshika, mtoto ni mwenyekiti wa mtandao wa Police👈 wanawake, Fadhila chacha na wa mwiaho kushoto ni Anna Chaima.
Mungu amtie nguvu na kumpa adhabu kali aliyefanya kitendo👈 hicho . Mtoto aliyetupwa akiwa na umri wa siku 4 kukutwa hai ndai ya shimo akiwa na aiku 6 humo .
WASANII WA BONGO FREVA (WAPANCRAS) KUACHIA NYIMBO YAO MPYA HIVI KALIBUNI song..LIMEYUMBA
Wasanii hao Ambao ni Mapacha, Ambao wameunda kundi lao linalokwenda kwa jina la #WAPANCRAs👈, Wamesema kuwa wananyimbo, nyingi kama vile Chausiku👈, Nitunzie Siri👈 nazinginezo nyingi ambazo zinafanya vzuri mpaka sasa,
Mapema leo wakiongea na KgTv".👈 Wamesema kuwa baada ya muda mrefu, kuwa kimya sasa wamekuja na nyimbo yao mpya inayoitwa, #LIMEYUMBA👈.
Pia waelezea sababu iliyofanya kuwa kimya muda mrefu, ambapo wameeleza na kusema kuwa walikuw Wakiandaa, Studio👈 yao mpya inayoitwa #ALIVE MUSIC,👈 Ambapo imekamilika tayari na kufunguliwa 1/10/2017 ambapo imeanza kaz lasmi .
Pia wanatoa shukrani kwa wote wanaoendelea, kusapoti muziki mzur wa Tz pia wameongeza kusema kuwa, wataendelea kutoa hiti nying kwa hiyo mashabiki wategemee vitu vzur kutoka, kwao .
Wapancras new👈👈 song...Limeyumba official Music coming on 10/12/207.....KgTv.
Sunday, December 03, 2017
JUA GARI MPYA ZENYE KASI/ (SPEED) KUBWA DUNIANI ZILIZOGUNDULIWA NCHINI "CHINA"
Gali hizi zenye Speed kubwa dunian, zatajwa kua na umaarufu mkubwa duniani, Gari hizo zilizotengenezwa nchini CHINA zapata umaarufu kote duniani, Gali hzo zimegunduliwa Mnamo tarehe 1/11/2017.
Gali hizo kwa mara ya kwanza kufanyiwa, majalibio yake katika mji mdogo wa China Shangai! .Pia gali hizo zatajwa kuuzwa kwa DOLA kubwa ya kimalekani T.$1.9!.
Gali zenye speed nchini china zatajwa kwa mara ya kwanza na kufanyiwa majalibio rasmi
all reservedonKgMedia.@com
MSANII WA BONGO JACK BIKU KUACHIA VIDEO YAKE MPYA HIVI KALIBUNI (Pamela)
Msanii huyo anaekwenda kwa jina la JACK BIKU, akihojiwa na KgTv Amesema kuwa anaachia, nyimbo/Video yake Mpya inayokwenda kwa jina la PAMELA, Pia amezungumzia video hiyo iliyokuwa ngumu kwake ila ssa Kumshukuru Mungu, kwa kua kazi hiyo imekamilika lasmi.
Ambapo amesema kuwa Video Hiyo ya Pamela, itaachiwa mnamo tarehe 8/12/2017 pia utaweza kuwa wakwanza, kuipata Youtube.com pia ameongezea kusema kuwa anaomba Sapoti ya kimziki, kutoka kwa mashabiki na wasanii wenzake, bila kuangalia, Jinsia,kabila, na nk.
Pia ameishukuru KgTvMedia.com kufanya nae mahojiano kwa njia ya Mtandao .
Jack_biku kuachia video yake mpya inayoitwa Pamela kuachiwa rasmi tarh 8/12/2017@ Allreservedonkgmedia.com
MSANII MUBA TILENT KUTOKA WEHU INERTAINMENT KUACHIA NGOMA MPYA (AMEN!)
Msanii wa bongo freva MUBA TALENT kutoka WEHU INTERTAINMENT, Kuachingia nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la AMEN!, mapema leo akiongea na KgTv Amesema kuwa, mashabaki wategee kazi nyingi na nzuri kutoka kwake amabapo ametoa tarehe lasmi ya kuachia kazi yake rasm Juma 5 hii mwez huu 12 .
Akihojiwa leo asema kaamua kufanya muziki wa Aina ya Singeli kwa kua mziki huo hauna, suport kubwa ya wasanii wanaofanya muziki, huo .
Pia kaongezea kusema kuwa yeye hatoacha kuachia nyimbo kwa sababu kipaji anacho, na nia anayo ya kuufikisha mziki wake wa Singeli mbali zaidi kwa habari zaid sikiliza Radio ya Efm Juma 5 hii .
Pia aushukuru uongozi, huo wa WEHU INTEETAINMENT, Kwa Suport kubwa kuendelea kusimamia kazi zake .
Muba Talent new song...Amen .on youtube.com .
Saturday, December 02, 2017
CHAMBUZI COMEDIAN KATORO KUFANYA VZURI NA MOVIE YAKE YA (APUYO)
Msanii wa comedy anaekwenda kwa jina la Paulo aka Chambuzi Comedian, anaefanya vizur katika tasnia ya bongo comediani movie, kutoka mji mdogo wa Katoro, amesema kuwa, Movie yake ya APUYO inaendelea kufanya vzur zaidi, kwa sababu story ya movie ile ni nzur na yakueleweka .
Aidha msanii huyo Amedai kuwa wanapata changamogo na, katika usambaz ya kazi zao na kuwafanya, mpaka kulegea kutoa Kazi zingine kwa kua, huchukua muda mrefu kazi zao kuwalipa au kutowalipa kabisa na kujikuta, wanaifrahisha jamii kuliko wao kupata faida .
Changamoto
Ameongeza kusema kuwa wanatumia galama nyingi kuwalipa, washiliki na kuwalipa Madirector na ambapo wanatoa pesa nyigi ili kuandaa, na kukamilisha kazi hiyo .
Chambuzi asema kuwa hivi kalibuni anatarajia kuachia movie nyingine mpya amesema mashabiki, wa tasnia ya filamu wakae tayar kwa filamu hiyo .
Chambuzi Comedian atamba na movie yake mpya, iitwayo Apuyo .
MSANII WA BONGO FREVA AMONTA 4REAL KAELEZEA SABABU ZILIZOKWAMISHA MPAKA VIDEO YAKE MPYA KUCHELEWA KUTOKA (HIZI HAPA)
Msanii huyo anaekwenda kwa jina la AMONTA4REAL, Amesema kuwa sababu zilizofanya mpka video yake, kuchelewa kutoka ni nyingi sana ambapo kasema kuwa, kutokana na video hiyo, kuchelewa ni kutokana na director wa video hiyo XAIMACO, kucheleweshewa vifaa na COMPONY, yao .
Na pia kaeleze kuwa abbu nyingine ilikuwa ni uandaaji wa Location, na Video Qn wa video hiyo kulazimishwa mapenz na madirector hao, ikafanya video Qn kutotokea siku ya Shooting hiyo.
Na pia sababu nyingine Ameelezea kupata changamoto ya upatikanaji wa vifaa kama, Mavazi, maka up, Usafiri, kaelezea kuwa hzo nichangamoto, zilizokuwa kwasababu hakuwa na pesa ya kutosha kupata vitu vyote hivyo, ambapo ililazimu, kuahirisha kaz mpaka kukamiliaha vitu hivo.
Msanii huyo pia kapongeza Kampuni ya KgChataMedia kwa kuwwza kusimamia kazi yake mpka kukamilika, na kuwa chini ya Kampuni hiyo na KU SIGN Mkataba Lasmi na kampuni, hiyo .
Msanii huyo Amewaomba radhi washabiki, na mafuns wa muziki wake kuwa ni sbabu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wake, na amewaahidi mambo mengi mazuri kuanzia sasa akiwa na chini ya Kampuni ya KgChataMedia .
Amonta4real song..Wathamani on youtube.
Friday, December 01, 2017
MTOTO WA BOSSMANAGER KGCHATA WA (KGCHATAMEDIA) KUPEWA JINA LASMI NA BABU YAKE MAPEMA LEO
Mtoto huyo aliezaliwa Tarehe 27/11/2017 saa 7:03 Asubuhi, apewa jina na babu yake mapema leo, babu wa mtoto huyo na familia yake kiujumla, Asema kuwa, mtoto huyo amepewa majina ma2 ambapo kapata jina la Asili, pamoja na laubatizo amesema kuwa jina la asili ambalo ni NDUUMWAMI, kwa maana ya MTAWALA na jina la 2 amabalo ameitwa IZACK .
Pia kaongezea bibi wa mtoto huyo kuwa atahakikisha akipewa matunzo yote, kwa kua ndo mtawala wa pekee wa familia na ukoo kwa ujumla ambapo kaelezea kua jina hilo na la #babu na #babuu yaoo wa kwanza wa familia hiyo .
Baba wa mtoto INNOCENT KAPARAGA na SARAH BENJAMIN mkewe wameelezea furaha yao, pindi walipopata mtoto huyo na kuahidi kumtunza, na kumlea kadri Mungu atakapotuchalia uzima, mama wa mtoto amemaliza na kusema kuwa, 👉Anawashukuru wote kwa namna moja ama nyingine wamesaidia mpka mtoto huyo kuwepo mpkasa sasa . Pia uongozi mzima wa KgChataMedia Umempongeza BossManagerKgChata pongezi kumpata Mtoto Huyo aitwae IZACK .
MSANII WA MUZIKI WA BONGO FREVA RAINFALL FT DOLLA TRACK KUACHIA NYIMBO MPYA HIVI KALIBUNI
Msanii huyo anakwenda kwa jina la RAINFALL amesema kuwa muda si mrefu atatambulisha kazi yake mpya on KgTv ambapo mapema leo akihojiwa na kusema kuwa hana sababu yoyote ya kushindwa kuachia nyimbo sababu ana project nying Studio .
Pia ameelezea ninini sababu ya kuchelewesha nyimbo yake mpya ambapo kasema alikuwa akimalizia masomo yake hususa ni mitihani mikubwa katika shule hiyo.
Pia awaomba radhi mashabiki wake wote na kuwaahidi mambo mengi mazur kutoka kwake .RAINFALL FT DOLLA TRACK.....SOng...BABA LA BABA .