KG CHATA VITU BORA

HABARI NA KGCHATA

Tuesday, November 27, 2018

PICHA ZAIDI YA MILLIONI MOJA KUCHAPISHWA HADHARANI KWA AJILI YA (HBD) YA MTOTO NCHINI TZ

Hi ni happythday iliyokuwa na Nguvu zaidi ambapo mtoto, alietimiza mwaka mmoja nchini tanzania, Tanzania Alipokuwa akiadhimisha siku yake ya Kuzaliwa pamoja na ndugu zake, ameichukuliwa picha zaidi ya Millioni Moja bila kuurudia nguo hii hapa zitazame zote kupitia @KgTv na @KgChataMedia.

Aidha familia ya mtoto huyo Izack I. Kaparaga akiungana na familia mbali mbali mbali na mitandao ya kijamii, pia Kupitia kampuni ya KgchataMedia. Itaonyesha sherehe nzima Kupitia @KgTv Leo hii muda was saa 10:00 jioni hi Maeneo ya Nyumbani kwaoo.

Akiongea na Vyombo vyetu vya nahar @Manager wa Mtandao wa @KgChataMedia Amesema kuwa anafara yeye pamoja na familia nzima na kuwatakia heri wote waliomwish mwanae kipenzi@Izack na familia yake nzima na pamoja na mtoto wake Kipenzi kwa kufikia siku Kama ya Leo tarh 27/11/2017 ambapo ndo alizaliwa mtoto huyo 
Mungu atujalie uzima na ampe Maisha Marefu hapa Duniani na Kuishi na watu na heshima na adabu Amina.
👇👇👇👇👇
@To follow KgChataMedia kwa updates Zaid
@Fb kgchta
@Instagram Kgtv
@youtube Kgchatatv 
Share:

Wednesday, October 24, 2018

SHULE 10 ZILIZOSHIKA MKIA MATATANI MATOKEO DARASA LA (VII)2018

Mtihani wakuhitimu Kidato Cha Darasa La Saba ambao, matokeo yake yametoka hivi punde na Waziki wa Elimu Akiongea na waandishi wa Habri Amesema Mwaka Huu ufaulu umeongezeka kwa %4 kutofautisha na miaka Mingine iliyopita .
Na kuwataka waendelee na mbinu zaidi zitakazoweza kusaidia kuendelelea kujifunza zaidi na kufaulu zaidi 
Share:

Thursday, October 18, 2018

JAZZ BEE KUFANANISHWA NA MASTAA BONGO CHANZO HIKI HAPA AFUNGUKA JAZZ BEE KgChataUpdates2018

Msanii was kizazi kipya Jazz bee Leo kafunguka live on Kgchatamedia, na kutoa hofu kwa Mashabiki kuhusu kufananishwa na mastaa wa Muziki bongo .

Msanii huyu alimaarufu kama Jazz bee Amesema kuwa Ameanza game kitambo Sana ambapo kashafanya kazi nyingi Sana za kisanaa hususa ni katika Muziki wa Bongo freva .

Msanii huyo ambae anafanya Muziki was rap Nchini muda Mchache Kama masaa 4 Baada ya kuachia nyimbo yake Mpya amesema kuwa amepokea comment nying Sana za kunanishwa na Msanii young killer na ma rapper wengine wa Tz.

Akiongea na Kgtv kasema kuwa yye hafani na Msanii yeyote wa bongo na Wala uandishi nanukuu "mimi siimbi Mziki wa mtu Wala uandishi naamini kila mtu anasauti yake na pia uandishi kila mtu anaandika katika Dunia hii" 
Jazz bee nawakalibisha kuisikiliza Nyimbo yangu Mpya inakwenda kwa jina la TUTAFIKA TU .

Mashabiki zangu naombeni saport kubwa Mimi bila nyinyi siwezi kufika mbali 
www.kgchata.blogsport.com
Share:

Tuesday, October 16, 2018

FAMILIA YA BILIONEA MO DEWJ KUTANGAZA DONGE NONO KWA MTU ATAKAETOA TAARIFA YA UPATIKANAJI WA MO DEWJ

Masaa machache Baada ya ukimya Wa upatikanaji wa Bilionea Na Ambae ni Mwenye muwekezaji wa Kampuni ya MOETEL TZ alietekwa na watu wasiojulikana  siku chache zilizopita .

Familia ya Mo Dewj  Yavunja ukimya na Kutangaza Donge nono la sh.Bilioni Moja kwa atakaetoa taarifa sahihi za upatikanaji, was mtoto wao Mpendwa Mo Dewji .

Subscribe my Blog now ili kuwa Updater zaidi was habar za Dunia Nzima 
Share:

Tuesday, October 09, 2018

CHANZO CHA KIFO CHA PRODUCER WA MUZIKI WA BONGO FREVA PANCHO LATINO CHATAJWA LASMI


Habari zilizotufikia hivi punde, nikwamba Msanii na Ambae ni producer wa Mziki wa Bongo Freva #Pancho_Latino Afariki Dunia Akiwa Ufukweni mwa kisiwa Cha Mbudya Jijini Daresaalam Akiwa na wenzake !

Shuhuda wa tukio Hilo adai kuwa alikumwona Pancho Latino na Akiogelewa punde na kuona mtu akizama pasipo kuibuka juu ya maji kwa muda mrefu kidogo ndipo alipochukuwa hatuwa ya kutoa taarifa na uogozi wa Prod huyo kufanyika wakiwa na boti ndogo nakufanikiwa kumutoa na kumfikisha hospital mwana nyamala, ambapo baada ya muda mfupi walipokea sm ya kusikitisha ambapo walilipoti kutokea kwa kifo hocho !
(R.I.P Brother)
Habari kamili tutakufikishia Baada ya habari kamili kukamilika !
Share:

Tuesday, September 25, 2018

HIZO FEDHA NI ZA RAMBI RAMBI TU KWA WAFIWA ASEMA WAZILI MKUU WA TANZANIA

Waziri mkuu wa Tanzania Amesema kuwa kuwa pesa zote, zinachotolewa kwa ajiri ya wafiwa wa Mv.Nyeree zitafanya shuguli za lambi lambi tu na sio shuguli zingine 
Zaidi Soma hapa👇👇👇👇(Maneno) ya wazili mkuu wa Tanzania 
Share:

Monday, September 24, 2018

WALIOPATA AJARI NA MV NYERERE MIILI IPATAYO 224 LEO KUAGWA RASMI

Viongozi wa Serikali na watanzania wote Leo hii wanaungana kuwaaga wenzetu waliopata ajari. Ya meli ndogo Mv.Nyerere iliyotoke juzi Maeneno ya kisiwa Cha ukara mkoa wa Mwanza Tanzania

Tia neno moja kwa wenzetu waliotangulia mbele za haki Comment neno moja kwa ndg Zetu Hawa .

Share:

Wednesday, April 04, 2018

NANA BRAND (HOUSEHOLD's) RASMI KUZINDUA BIDHAA YAO MPYA YA SUBUNI@2018KgChataNews

Nana Company L.T.D Leo hii Imezindua Lasmi bidhaa, yao mpya ya Sabuni .

Bidhaa hiyo ambayo imethibitishea na TBS Tanzania, ambayo in kwa ajiri ya usafi wa majumbani .

Aidha nikiongea na Mkurugenzi wa Kampuni ya Nana Brands amesema kuwa bidhaa hiyo, inapatikana katika ujazo wa Lita 5 .

Sabuni hiyo ya kimiminika ambayo, inatumika kusafisha, masinki, vyoo, sakafu, kunawia mikono nk imethibitishwa kwa ubola zaid Duniani.
Kwa mahitaji zaidi, wasiliana nao kwa namba zifuatazo, 0768595945.

Pia kwa mahitaji zaidi, wasiliana na namba hizo ili kuweza kupata bidhaa hiyo popote pale nchini, unaweza kufikishiwa mzigo kwa jumla na rejareja 

kgchatanewsTz
Share:

Tuesday, February 13, 2018

BE MY VALENTINE DAY DIMO CLASSIC LIVE KWA MARA YA KWANZA JUKWAANI ROCK CITY MWANZA@KgChataNews2018


Mapema hii Dimo classic akiongea na KgChataNews Amesema kuwa sijawahi kuimba live band jukwaani .

Amabo msanii wa bongo dimo amepewa shavu usiku wa valentine kwa kuimba nyimbo zake live na masataa kibao wa mwanza ambapo, kasema hataiangusha Land Music ya Ngara kwa ujumla na Taiifa.

Pia Staa Huyo ambae saiv ameelezea kuwa Saiv yuko na Mood ya paper/ au mtihiani wake shuleni lakina amedai, kumualika katima usiku wa valentine, kumemuongezea zaid nguya ya kushinda mifihani yake yote inayoanza juma tatu hii.

"NIANA IMANI NA MAISHA NA MUZIK WANGUZ KITU CHA KWANZA DUNIANI NI WAZAZI PILI NI MIMI TATU NI FANI AMBAYO IKO NDANI YANGU, sitawangusha kwa kuwa mziki wa live unahitaji ujasir na Akili na hmakini zaidi, Dimo classic.
Shukran kwa kila anae sapoti muziki wetu, thnx pia kwa kgchatanews kwa sapoti"

KgchataNews.Com kwa Kuipata nyimbo yake Be My Valentine Gusa KGChata Tv tanzania .
Share:

Friday, February 09, 2018

MSANII MC PARAGONI ASEMA ANAWAKUBARI ZAIDI UNDERGROUND ARTS'T KULIKO MASTAA@KgChataNews2018

Msanii wa muziki Tanzania Rapper Mc paragoni, akiongea na Kgchata tv amesema kuwa anakubali marapa Underground kuliko master.

Mapema hii amefunguka alipokuwa, anaelezea maisha na muziki wake toka aanze, game ameanza kwa kusema kuwa, ameanza game akiwa mdogo kwa kusikiliza, nyimbo nakugundua kuwa anaweza kuandika na kuimba, akiwa sgule ya msingi .

Msanii na Rapper Mc Paragoni, amesema na kuelezea misingi ya rap hip hop ya bongo na nje ya bongo, akisisitiza kuwa heshima ya hip hop rap, haipewi ushirikiano na vyombo husika.

Mc huyo meongea kuwa, mashabiki na management, itakayojitokeza kusimamia kaz au kikundi chake kufata misingi imara ya usimamizi, wa management .
Afunguka Mc paragoni 

@KgChataNews
@Kgchata tv Tanzania
Kwa full interview Live, gusa youtube kgchata kumsikiliza live 
Share:

MSANII FOX BOY AKA HANGAZA GHOST ALICHOKISEMA KUHUSU MUZIKI WAKE MPYA@KgChataNews2018

Rapper Huyo Mapema hii akiongea na Kgchata News amesema, kuwa mwaka huu ni wa neema sana kuliko miaka iliyopita kwa kuwa ameona, hatua ziiikua katika muziki wake .

Ambapo mapema hii amesema maisha ya muziki wake yameanza, miaka mingi ya nyuma, ambapo amesema yeye aliposhuka duniani na kipaji cha sanaa, ya mziki ilipoanza papo hapo .

Msanii fox boy kaelezea mengi, sana ikiwemo kuachia nyimbo tofauti ambapo zinakuja soon, fox boy pia ameelezea na kusema kuwa mashabiki ndo nguzo yake kubwa, ili aziwadondoshe ni lazima kuwapa vitu vikali, na vikubwa katika industry ya muziki wa bongo Tanzania.

Malengo yake amesema, kuwa anatarajia mziki wake ufike mbali kutoka Ngara mpka kona zote za dunia ndani na nje ya nchi, ambapo kaelezea pia nyimbo yake Muda ndo huu na kusema ni nyimbo kubwa, sana na anaamini itafika mbali .

@KgChataNews.com
@Full Intervie Gusa youtube channel kgchata tv Tanzania ili kumsikiliza live, fox boy alichokisema kwa upana zaid.

Share:

Monday, February 05, 2018

MSANII WA MZIKI PIA AMBAE NI PRODUCER WA MUZIKI WA BONGO ETCO PRO. HIVI KALIBUNI KAZUNGUMZIA NYIMBO YAKE MPYA@KgchataNews2018

Hii hapa habari tena kama kawa chama la wana Kgchata Tv, & news Akizungumza Msanii Etco.Pro amesema mengi kuhusu maisha yake ya kimziki na masomo, asema kila kitu kinawakati wake .

Msanii Etcovprod ambae bado ni mwanafunzi katikashule frani, lakin levo za juu kdg amesema kuwa ameishi ndani ya mziki toka mdogo sana na kusema, kuwa anapenda sana music kabla ya kuimba alipenda sana kuproduce nyimbo tofauti za wasanii.

Etco.prod pia amesema, kuwa ukitaka kujua utamu wa ngoma uingie ucheze, ambapo tafsir hiyo kaitoa baada ya kuachia hiti song ya nyimbo yake mpya Mr.Kivuruge, ambayo imetoka soon on social network .

Raper huyo ambae, kazungumzia kuwa na ndoto za kufanya kazi nyingi ili kufika levo ya juu, kama nchi frani za nje, ili kuweza kukuza sanaa amewapa mashavu sana, na kusema kuwa anawapenda, mashabiki, pia amesema yeyote anaeweza kufanya kazi amtafute Etco.prod, kwa kazi yoyote ya kimuziki amemaliza Rapper huyo Etco Pro.

"Nawapenda sana mashabiki, zangu waendelee kunipa sapoti na mimi nawaandalia vitu vikali kwa ajir yao mr.kivuruge Etco.pro"

📶Tufatilie kila siu Masaa 24/7 
@KgChata Tv
@KgChta News
Share:

Thursday, February 01, 2018

MSANII WA UGANDA MOZEY RADIO WA KUNDI LA GOODLIFE UGANDA AFARIKI DUNIA@kgchatanews2018

Habar zilizotufikia hii leo ni kuhusu msanii maarufu, kutoka Uganda Mozy Radio wa kundi la Goodlife Amefariki dunia .

Ingawa chanzo bado hakijajulikana, tumepokea habar kutoka local NTV UGANDA, Mapema hii yatoa habar ya kusikitisha, na kushangaza Dunia .

Hakika ni pigo kubwa kuondokewa na sataa mkubw wa mziki Uganda, na tegemezi kaika kundi la Goodlofe Nchini uganda R.I.P
KgChataNews@2018
Share:

Tuesday, January 30, 2018

DIAMOND AKUBARI KUFANYA KOLABO NA ALIKIBA STORY ZAIDI - KgChataNews@2018


Katika usiku wa kumtambulisha maromboso wa WCB mkubwa fella alisema kuwa anatamani sana Diamond, kabla hajafa afanye kolabo na Alikiba.

Kwenye Exclussive diamond alipoulizwa hilo alijibu kuwa atafanya kolabo na alikiba kwani hakuna ubaya wowote kati yake na alikiba .

Diamond alikuwa akimzungumzia, maromboso kwa ujio wake ikiwa hiv kalibuni kasajiliwa na WCB amesema kuwa kila mtu ana ridhiki yake na mashabiki wake wakimziki, pia 

kaongezea kusema kuwa so msanii kujivunia mashabiki bali ajivunie kwa kidogo anachopewa na Mungu, ili aweze kuisaidia familia yake na majirani asema Star wa muziki nchini Diamond Platnums
Share:

Sunday, January 28, 2018

MSANII WA MUZIKI WA BONGO FREVA RAINFALL AZUNGUMZIA MZIKI WAKE MPYA (BABA LA BABA)KgchataNews@2018

Msanii wa muziki wa bongo Rainfall ambae anakwenda kwa jina la Fidel ameongea mapema hii na KgChata News ambapo kauzungumzia mziki wake mpya unaokwenda kwa jina la baba la baba.
Msanii Rainfall pia kaelezea historia ya mizik wake mpya ambao ameanza miaka ya nyuma enzi yuko shule ya msingi ambapo alianza kwa kuimba nyimbo, za watu na kutumia beats za watu hisusa ni kwenye sherehe za shule, harusi na kadhalika .

Msanii huyo wa muziki wa bongo Ambae kwa muda murefu amekuwa akifanya kazi ya Muziki peke yake ambapo mwaka huu mwezi wa kwanza kapata,shavu la kumanagiwa na Kampuni ya KgChataMedia, ambapo toka aanze kusimamiwa na kampuni hiyo, ameachia kibao cha kwanza kinachokwenda kwa jina la baba l baba .

Msanii Rainfall wa bongo freva amesema kuwa, anawaheshimu na kuwathamin mashabiki wake wa muziki wake na kuwaahidi, mengi mazur kutokea kampuni, hiyo ya Kgchata ambapo kaahidi kuachia video ndani ya mwezi wa 4 
KgchataMediaNes@2018
Share:

Saturday, January 27, 2018

CHANZO CHA RICK ROSS KUFUTA PICHA ZA DIAMOND PLATNUM KWENYE ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM

Staa wa Music America Marekani Rick Ross Leo 26/january 2010 Amechukua kichwa cha habar leo katika, mitandao ya kijamii baada ya kujulikana kufuta picha zote za Diamond Platnus katika ukurasa wake wa Instagrams.

Rick Ross amewahi kumpost mara mbili, Diamond platnums kweny ukurasa wake wa instagram wa rick ross post zote zikihusishwa kwa ubalozi wa kinywaji cha Beraile Mwez September 2017.

Maswali yamezidi kuwa mengi kwa mashabiki, baada ya Rick ross kutofuta picha za kinywaji cha pombe Beraile na kuacha, picha Huddah Monroe ambae pia ni balozi wa kinywaji hicho, kutokea nchini kenya, Lakin post za Diamond pekee ndo kafuta .

Kipi kinaendelea kati ya Diamond na Rick Ross? Ikumbukwe tu Diamond na Rick Ross wamefanya ngoma Ya waka waka iliyofanyika nchini Marekani basi.
Share:

Friday, January 26, 2018

MUIGIZAJI MAARUFU WASTARA KUPATIWA FEDHA ZA MATIBABU YA MGUU WAKE NA VIONGOZI WA JUU TZ@2018

Muigizaji Maarufu wa Maagizo nchini Maarufu kama, Wastara Juma ambae amekuwa akisumbuliwa na Mguu wake mudamrefu Amepokea misaada mbali mbali ya matibabu ya Muguu wake kutoka sehemu mbali mbali mbali.

 Ambapa Mapema jana Mh. Raisi wa Tanzania John Magufuli amemwagiza Katibu wake Ngusa Samike awakilishe mchango wa mh.John pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli ambapo wametoa sh.Milioni 15 kwa ajir ya matibu ya mguu wa Wastara .


Share:

MADAKTARI UBERIGIJI WAMEFANIKIWA KUTOA RISASI ILIYOKUWA IMEBAKI NDANI YA MWILI WA MH.TUNDU LISSU@2018

Habari iliyotufikia Mapema Ya Mh.Tundu Lissu aliepata ajar ya kupigwa Lisasi Nawatu wasiojulikana, na kujeruhiwa akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake, Ambapo alikimbizwa Kenya kwa ajir ya matibabu, na kufanikiwa kwa kiasi kujaribu kizitoa risasi zilizokuwa ndani ya mwili wake .

Mh.Tundu Lissu akiongea, kutoka ubeligiji mapema hii amedai kuwa madaktari wamefanikiwa, kuiondoa risasi iliyobaki ndani ya mwl. Wake mara baada ya kutolewa nchni kenya.

Tundu Lissu Kaongea haya" Mungu ni mwema risasi iliyobaki ndani ya Mwili wangu imefanikiwa kutolewa na Madaktari wa Ubelgiji".

Share:

SABABU ZA NABII TITO KUJIFANYA NABII HIZI HAPA ZATAJWA BAADA YA KUSHIKIRIWA NA POLICE

Mapema kabla ya nabii Huyo anaekwenda kwa jina la nabii TITO, kushikiliwa na vyombo vya habari ambapo, kabla ya kukamatwa amekua akiipotosha jamii kupitia DINI.

Ambapo kabla ya kushikiliwa na jeshi la police amekuwa akidhalilisha, Imani ya Mungu kwa Vitndo viovu ikiwa kuwapotosh/ kuipotosha jamii kwa vitendo vichafu.

Hivi kalibuni Nabii Huyo Kakamatwa na Mtandao wa kijamii wa Instagram wa Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi, "Mwigulu Nchemba" Amethibitisha na kuandika "Udhalilishaji wa Aina yoyote ile haukubaliki(Kijinsia,Dini Nk).

Share:

Sunday, January 21, 2018

BROTHER K AFUNGUKA KUHUSU VIDEO YAKE MPYA NA WAPANCRASS MREMBO WA BUSERESERE@kgchatanews/2018

Msanii maarufu nchini Brother k anaetambulika zaidi kwa kufanya industry ya comed ,nchini akiongea na kgchata tv amefunguka na kusema kuwa Hivi kalibuni anatambulisha video yao mpya inayokwenda, kwa jina la Mrembo wa Buselesele ambapo kasema, kaja na ujio mpya wa kuachia nyimbo zake zaid ya 5.

Pia msanik huyo alietoa wimbo wa Khadija akiongea na kgnews amesema now wanproject nyinga sana walizoziandaa, pamoja na wasanii hao wapancrass , pia kaongelea kuwa zipo projrct zaid ya 100 ikiwa mwaka huu wataanza kuachia kaz 5 mfurulizo .

Pia amemalizia na kusema kuwa, Mashabiki wake wategemee vitu vingi kutoka kwake, na kuwa amesema atakuwa akifanya tour Tanzania, nzima ili kuzindua nyimbo zake hizo story zaidi akiwa live on KgChata Tv channel online Ingia youtube ili kumsikiliza alichosema live 
Share:

Wednesday, January 17, 2018

RACKER BOY ONE AFUNGUKA KUHUSU KUACHIA NYIMBO YAKE KAMA ZAWADI KWA MASHABIKI KUFUATIWA SIKU YAKE YA KUZARIWA_kgchatanews@2018

Msanii wa Muziki bongo freva Rocker boy One, ambae anafanya game ya bongo hip hop Tanzania, ambae anaazimisha siku ya kuzaliwa leo hii .

Afunguka na kusema, kuwa leo siku ya kuzaliwa ametambulisha nyimbo yake mpya ya WAAMBIE, ambayo kaitambulisha lasmi leo tarehe 17/1/2018 .

Pia msanii racker boy amezungumzia maisha na safali yake ya mziki ambae amesema ana project nying sana ambazo zitatoka mwaka huu ambazo zitafatiwa na video hzo pia msanii huyo amesema kuwa mashabiki wake wategee kuungana kwa sasa kwa kua anatalajia kufanya show tofaut tofauti Kanda ya ziwa .

So mashabiki mkae mkao wa Show kali ambazo nitazunguka kanda ya ziwa kuwaletea burudani" Amesema racker boy one 
Hoollaaa ukiwa na Kgchatanews Story na interview zaid gusa youtube KGChata Tv Online ili kusikiliza Interview live na msanii Racker Boy One
Share:

WAPANCRASS WAFUNGUKA COLLABO YAO NA BROTHER K WALIYOSHIRIKISHWA_kgchatanews@2018

Wasanii wa Bongofreva Mapacha hao wawili walionda kundi la WAPANCRASS lililoanzishwa miaka kadhaa ya nyuma wamefunguka na kusema kuwa Wanacollabo nyingi sana walizofanya na wasanii tofauti tofauti na wasanii wa Tanzania

Wapancrass wamefunguka na kusema kuwa katika Life la mziki wao wamekuwa ni watu wanaofanya vizur kwa kaz zao za uimbzi ambapo wamesema, wanakzi nyingi tofauti tofauti ambazo nibkali, sana Pia kubwa ni hii collabo yao ya muziki na Msanii wa Comediaon Brother k na Chambuzi comedian.

Ambapo wamedai kuwa mda sio mrefu kazi hiyo itatoka hewani na video yake kukamilika hiv punde wasanii hao pia wameomba mashabiki wao kuwa nao katika saport ambapo wanadondosha video 2 mfurulizo ikowa, ni nyimbo ya LIMEYUMBA, na Collabo yao na Brother K 
Pia wafatilie zaid youtube KGChata Tv Online walichokisema live 
Share:

Saturday, January 13, 2018

HIKI NDICHO CHANZO CHA VIDEO YA AMONTA4REAL WATHAMANI KUCHEREWA KUTOKA SOMA HAPA@2017

https://www.youtube.com/watch?v=JyVlj6Cw1nY&t=4s

Amonta4real akihojiwa na KgChataNews Amedai kuwa video yake ilichelewa kutoka kutokana na Madirector kucheleweshewa vifaa vya shooting pia Amedai kuwa Bajet ya video ilikuwa ndogo pia kukosa hela ya kulipia Location, Video Qn, Usafir na chakula pia ambapo ilibidi kuchukua Takribani wiki moja tena mbele ili kukanilisha mambo hayo .

Aidha Amonta mbali na hayo amesema kuwa Now video imetoka iko tayar kabisa ili kuiona Gusa link hapo juu na Kuitazama zaidi pia amonta Amedai Mwaka 2018 ameandaa project 2 ambazo zitatoka mfululizovkwa ajir ya kuwaomba msamaha mashabiki na kurudi tena katika game lasmi 
Share:

Friday, January 12, 2018

Wednesday, January 10, 2018

CHAMBUZI COMEDIAN KUACHIA VIDEO COVER JIONI HII @2018

Msanii wa Comedy Tanzania Paulo Aka Chambuzi Comedian Amesema Mapema Hii akiongea na KgTv News amedai kuwa jioni ya leo tarehe 10/1/2018 anaachia
 Video Cover yake Mpya .

Msanii huyo amewaomba mashabiii kusaport kaz itakayoachiw leo jioni kuwa ni kali sana yenye maadili kwa jamii pia amezungumzia ugumu wa kuipata kazi ya Msanii Wa muziki Coasta Model Mapenz ambapo kasema ilikuwa kazi kufikia makubaliano ya kuruhusu msanii huyo wa comedy kuachia video hiyo.

Ila kwa sasa msanii huyo amesema kuwa kaz ipo tayar anajiandaa nabkupanga time ya kuiachia kwa mashabiki hv punde itakuwa youtube follow Kgchata Tv Tanzania ili kuiona kazi hiyo alisema msanii huyo Chambuz Comediani
Share:

BREAKING NEWS ALIEKUWA MTANGAJI WA REDIO FREE AFRICA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO

Aliekuwa mtangazaji wa Radio Free Africa Afariki dunia Usiku wa kuamkia Leo Ikiwa bado chanzo cha kifo chake Bado hakijatambulika Mpka hapo uchunguzi utakapokuwa tayar kwa uchunguzi 
Mtangazaji huyo anaekwenda kwa jina la Zuberi Msabaha, aliefariki usiku wa kuamkia Leo Mazishi yanatalajia kufanyika huko Mabatini mwanza Mungu ailaze Roho ya marehem Mahali pema Amina na tuzidi kumwombea na kuifaliji familia ya Wafiwa Amina .
Share:

Monday, January 08, 2018

KayRib TULIA NAMI OFFICIAL AUDIO

Share:

Friday, January 05, 2018

gilbey capachido-coco babey

              DOWNLOAD NOW 

Share:

Monday, January 01, 2018

MSANII WA BONGO FREVA DIMO CLASSIC KUZUNGUMZIA MZIKI WAKE MPYA(wewe ni nani?)

  Msanii wa muziki wa Bongo freva akiongea na KgTvNews mapema hii, amesema kuwa Anatalajia kuachia nyimbo yake Mpya mwaka huu 2018, ikiwa ningoma ya kufungua mwaka huu .

Pia msanii huuo ambae yuko chini ya Kampuni ya ROYAL MOUNTAIN, Amesema kuwa, Management inaruhusu song hilo kuachiwa leo mnao saa 6 kamili usiku, sabubu ikiwa ni moja kati ya saprise aliyoifanya kwa mashabiki, wake wa muziki .

Pia kazungumzia, kuhhsu mashabiki kuipokea ngoma hiyo kwa kua ni kali na yakusiaimua, kassma ngoma hiyo hajasimama peke ake kamshilikisha mwanadada mwenye uwezo mkubwa Tash Qeen kutokea pande za Tabora .

"Dimo k sina mengi Ila kikubwa Namshukuru mungu kufikia hapa mpaka leo kukamilisha nyimbo yangu mpya nawapenda sana mashabiki wangu wote wakae mkao ngoma mpya WEWE NI NANI soon kwa masikio yao".

KgChataMedia.com nasi kwa pamoja kumpa shukran kwa show news thnx Dimo Classic kwa Time yako .
Share:

Follow on Facebook

BTemplates.com

Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Search This Blog

[Latest News][6]

mix
NEW AUDIO
New Photos
NEW STORY
NEW VIDEOS

Like us on Facebook

Most Popular this week

Popular Posts

Blog Archive